King kiba noma!

Ozoner

Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
6
Reaction score
6
Chombo cha habari maarufu barani Africa na kinachodhamini tuzo za MTV mama African music awards kimepost taarifa za wasanii watakao perform siku ya event 22/10/2016 akiwemo,Alikiba kutoka Africa Mashariki,Jamani wameamua kuonja asali watachonga mzinga.
 
una andika uzi kumwaga mahaba yako bila info ya kusisi mua au una piga promo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…