King James Version (1566–1625)

Rastafarian ✌🏾
 
Umetufunguwa macho na masikio
 
Covax ni muislam ambaye anapingana na mtume wake mr Mohamed.
Quran 10:94 , Mohamed anaambiwa kama ana mashaka kuhusu utume wake basi akawaulize walioshushiwa vitabu kabla yake (wakristo na wayahudi). Allah wake angemwagiza akawaulize wenye vitabu vilivyo chakachuliwa?
 
Mkuu kwa heshima yote ninao kupa nieleza hiyo mada ya Muhammad (saw) inahusiana wapi na King James version ya biblia.
 
Covax ni muislam ambaye anapingana na mtume wake mr Mohamed.
Quran 10:94 , Mohamed anaambiwa kama ana mashaka kuhusu utume wake basi akawaulize walioshushiwa vitabu kabla yake (wakristo na wayahudi). Allah wake angemwagiza akawaulize wenye vitabu vilivyo chakachuliwa?
Mkuu kwa heshima yote ninao kupa nieleza hiyo mada ya Muhammad (saw) inahusiana wapi na King James version ya biblia.
Shida yako wewe ni kwamba unaenda kwenye tafsiri, wakristo tuna codex za kale kabisa ambazo waislamu hamna. Nikuulize swali rahisi tu ,wapi kuna copy hata moja ya Quran ya Uthman hapa duniani? Ila asilimia 90 ya waislamu mnatumia Quran ya Misri ya mwaka 1924 ambayo sio original Quran ( Uthman).

Proffesor Yassir Qadhi mwanazuoni nguli kabisa wa Qur'an na hadithi,aliulizwa swali ni Mohamed Hijab,ni Quran ipi anaweza kusema ndiyo ile ile toka kipindi cha Mohamed? Aliwekewa versions tofauti za Quran na akashinda kuchagua moja tu .

Kama wewe unasema historia yetu ya Biblia haijanyooka, historia yenu ya Quran ikoje?
 
Mkuu uko nje ya mada ila dhibitisha tuhuma hizo kwa kuleta ushahidi au mgongano wa Qur’an ili tuweze kujadili kwa heshimu, pia nakiomba ulete hizo codex Za bibulia unazo sema au tutolee mfano moja ili tujifunze na sie pia ahsante sana in advance mkuu.
 
Bibilia yani kila mtu anatia mkono wake halafu bado mnaita ni kitabu cha Mungu.
 

Qur’an ni moja tu na ilishushwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w) na kuhifadhiwa na wafuasi wake kwa njia ya kumbukumbu ya mtu mmoja mmoja na kwa njia ya maandishi.

Baada ya Mtume kufariki. Abubakar aliikusanya Qur’an kutoka kwenye vifua vya watu walio ihifadhi na kwenye hifadhi za maandishi. Hivo ikawa ni kitabu kimoja ( Master Copy ).

Uthman alikuja kuchapisha vitabu kwa idadi kubwa kwa ajili ya kusambazwa kwenye jamii mbali mbali sababu baadhi ya jamii walikuwa wanaongea kiarabu chenye kutofautiana kidogo na kiarabu cha Quraish.

Hivo ilikuwa inaleta mgongano wa matamshi. Mfano kiswahili cha mtanzania ni tofauti na kiswahili cha Mkenya.

Lakini ukiichukua copy yoyote ya Uthman leo hii ukailinganisha na Master Copy aliyoikusanya Abubakar hakuna tofauti kabisa.
 
Ukienda Saudi Arabia na uarabuni yote hawana hata kurasa 1 ya Quran za Aboubakar au Uthman. Zilipotelea wapi? Hata centre za uislamu za wakati ule ambazo ni Damascus Baghdad ambako walitumiwa zile copy za kwanza hakuna hata kurasa moja ya Quran za Aboubakar au Uthman.

Saudi Arabia walikuwa hawana Quran rasmi mpaka walipoikubali Quran ya Misri toleo la mwaka 1924 (Hafs). Fanya research,tafuta taarifa za kweli kwa maana walimu wa madrasa hawafundishi ukweli kuhusu historia ya dini yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…