balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,678
- 15,407
Toka 1534 BK ,wakati wa Mfalme Henry viii,mfalme wa Uingereza ndo mkuu wa kanisa la kiingereza yaani Anglikana.King James I (1566–1625) ndiye aliyeagiza tafsiri ya Biblia maarufu ya “King James Version,” lakini hakuandika Biblia hiyo mwenyewe. King James hakuwa kiongozi wa kidini alikuwa mfalme wa Uingereza na Uskochi (1566–1625). Alitoa agizo la kutafsiri Biblia (iliyokuja kuitwa King James Version – KJV) kwa
Sababu kuu la Agizo lake la tafsiri ya biblia zifuatazo:
1. Kuondoa migawanyiko ya kidini:
Wakati huo kulikuwa na migogoro kati ya Waprotestanti, Wakatoliki, na Puritani Alitaka tafsiri moja ya Biblia ambayo ingeruhusu umoja wa taifa chini ya mfalme.
2. Kudhibiti ushawishi wa tafsiri zilizopo: Tafsiri zilizokuwepo, kama Geneva Bible, zilikuwa na maelezo ya pembezoni yaliyomkosoa mfalme. Alitaka tafsiri isiyo na maelezo ya kupinga mamlaka ya kifalme.
3. Kuimarisha mamlaka yake kisiasa: Kwa kuwa mfalme aliaminika kuwa kichwa cha Kanisa la Uingereza (Anglican Church), aliona tafsiri rasmi kama njia ya kuhalalisha uongozi wake wa kiroho na kisiasa.
Madhaifu ya tafsiri ya Biblia ya King James.
1. Imetafsiriwa kwa lugha ya zamani (Old English) Maneno kama “thou, thee, ye, hath, shalt” ni magumu kwa wasomaji wa sasa kuelewa.
2. Ilitafsiriwa kabla ya ugunduzi wa maandiko ya kale zaidi KJV ilitafsiriwa mwaka 1611, kabla ya kupatikana kwa Dead Sea Scrolls (karne ya 20) na maandiko mengine ya zamani yaliyo sahihi zaidi.
3. Imetegemea maandiko ya Kigiriki ya baadaye (Textus Receptus) ilitumia maandiko ya Kigiriki yaliyo na makosa ya nakala tofauti na tafsiri mpya zinazotegemea Alexandrian manuscripts ambazo ni sahihi zaidi.
4. Inaongezea maneno ambayo si ya asili KJV huongeza maneno kwa ufafanuzi bila kuyatofautisha, hivyo msomaji hawezi kutofautisha yaliyo ya maandiko ya awali na ya kuongezewa.
5. Baadhi ya aya si sahihi au hazipo katika maandiko ya kale
Mfano: Yohana 5:7-8 inaongezea dhana ya Utatu (Trinity) ambayo haipo kwenye maandiko ya kale zaidi.
Aya nyingine kama Marko 16:9–20 na Yohana 7:53–8:11 zina utata kuhusu uhalali wake.
Unatumia biblia ipi? Version ipi mkuu niambie haraka ni kujibu.Bro Covax. Habar za mchana.
Umepotosha kwenye maandiko.
Hakuna utatu kwenye hilo andiko.
Yohana 5 : 7 -8
"Yule mgonjwa akamjibu, Bwana, mimi sina mtu wa kunitia birikani, maji yanapotibuliwa; ila wakati ninapokuja mimi, mtu mwingine hushuka mbele yangu. 8 Yesu akamwambia, Simama, jitwike godoro lako, uende. 9 Mara yule mtu akawa mzima, akajitwika godoro lake, akaenda."
Hakuna Yohana 7 : 53
Imeishia mstar wa 52.
Pia sijui kama umezisoma. Na kama umezisoma hebu tuambie Uhalali wa nini ay nani unaongelea hapo?.
Ili nikusaidie kujibu
Mkuu ahsante kwa observation yako.Yohana 7:53 (SUV Union Version):Bro Covax. Habar za mchana.
Umepotosha kwenye maandiko.
Hakuna utatu kwenye hilo andiko.
Yohana 5 : 7 -8
"Yule mgonjwa akamjibu, Bwana, mimi sina mtu wa kunitia birikani, maji yanapotibuliwa; ila wakati ninapokuja mimi, mtu mwingine hushuka mbele yangu. 8 Yesu akamwambia, Simama, jitwike godoro lako, uende. 9 Mara yule mtu akawa mzima, akajitwika godoro lake, akaenda."
Hakuna Yohana 7 : 53
Imeishia mstar wa 52.
Pia sijui kama umezisoma. Na kama umezisoma hebu tuambie Uhalali wa nini ay nani unaongelea hapo?.
Ili nikusaidie kujibu
Anatumia hiiUnatumia biblia ipi? Version ipi mkuu niambie haraka ni kujibu.
Weka hayo maandishi ya kigiriki basi tuyaone- alafu ujanijibu .unaruka ruka tu kama maharage jikoniMkuu ahsante kwa observation yako.Yohana 7:53 (SUV Union Version):
"Wakaenda kila mtu nyumbani kwake."........
Aya hii ni mwisho wa sura ya 7 na inatambulika kuwa ni mwanzo wa hadithi maarufu ya "mwanamke mzinzi" ambayo huendelea kwenye Yohana 8:1–11 ambapo Yesu anasema: “Yeyote asiye na dhambi, na awe wa kwanza kumpiga kwa jiwe.”
Lakini kuna jambo la muhimu:
Sehemu ya Yohana 7:53 hadi 8:11 haipatikani kwenye maandiko ya Kigiriki ya kale zaidi. Tafsiri nyingi za kisasa (kama NIV, ESV) huweka maelezo kuwa sehemu hiyo:
Haikuwepo kwenye maandiko ya awali Inaaminika kuwa iliongezwa baadaye. Sasa ndo ujue utata uliopo kwenye biblia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu nikimbie kwa hoja ipi nyie mlio nao hata unashindwa kunitajia version ya biblia unao tumia unatapa tapa tu.......
Sasa wewe vip mimi ntaweka je maandishi ya kigiriki ambao hayapo, jamani someni dini yenu muelewe mnakua vituko hata kushindwa kuuliza swali la maana loh!!!!Weka hayo maandishi ya kigiriki basi tuyaone- alafu ujanijibu .unaruka ruka tu kama maharage jikoni
Unatumia biblia ipi? Version ipi mkuu niambie haraka ni kujibu.
Hayapo?? Sasa wewe umeqoute tokea wapi mkuu?? Tuendelee kupunga Majini mkuuSasa wewe vip mimi ntaweka je maandishi ya kigiriki ambao hayapo, jamani someni dini yenu muelewe mnakua vituko hata kushindwa kuuliza swali la maana loh!!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu nikimbie kwa hoja ipi nyie mlio nao hata unashindwa kunitajia version ya biblia unao tumia unatapa tapa tu.......
sasa huoni kama tunawezakuwa tunaibua madai ya kiduanzi namna hii kila sehemu,tukiombwa kuwasilisha tunajitetea kuwa hayapo!!!!Sasa wewe vip mimi ntaweka je maandishi ya kigiriki ambao hayapo, jamani someni dini yenu muelewe mnakua vituko hata kushindwa kuuliza swali la maana loh!!!!
Mkuu ahsante kwa observation yako.Yohana 7:53 (SUV Union Version):
"Wakaenda kila mtu nyumbani kwake."........
Aya hii ni mwisho wa sura ya 7 na inatambulika kuwa ni mwanzo wa hadithi maarufu ya "mwanamke mzinzi" ambayo huendelea kwenye Yohana 8:1–11 ambapo Yesu anasema: “Yeyote asiye na dhambi, na awe wa kwanza kumpiga kwa jiwe.”
Lakini kuna jambo la muhimu:
Sehemu ya Yohana 7:53 hadi 8:11 haipatikani kwenye maandiko ya Kigiriki ya kale zaidi. Tafsiri nyingi za kisasa (kama NIV, ESV) huweka maelezo kuwa sehemu hiyo:
Haikuwepo kwenye maandiko ya awali Inaaminika kuwa iliongezwa baadaye. Sasa ndo ujue utata uliopo kwenye biblia.
kashiba daku tayari huyu.Hayapo?? Sasa wewe umeqoute tokea wapi mkuu?? Tuendelee kupunga Majini mkuu
Na hapa ndio nataka KUPIMA Ukubwa wa Uelewa wako.
Hoja niliojibu mimi ambayo ni yako ni hii chini
"Baadhi ya aya si sahihi au hazipo katika maandiko ya kale
Mfano: Yohana 5:7-8 inaongezea dhana ya Utatu (Trinity) ambayo haipo kwenye maandiko ya kale zaidi."
Ina maana Haya "maandishi ya utatu " hayako kwenye Biblia hii ya sasa ila yako kwenye maandiko ya Biblia ya kale.
(Kwa maana nyingne "mandiko ya utatu" yameongezwa kwenye version nyingne na hayakuwepo zamani.)
Pia Ina maana kuwa "maandiko ya utatu" yapo kwenye maandiko ya sasa na hayakuwepo kwenye version ya zamani.
Sasa Na mm nimekutolea maandiko Yaliyopo kwenye Biblia yakisema tofauti na hayo unayoita ya sasa .
Kuwa hakuna maandiko kama hayo.
Najua kwa uelewa wako ni ngumu kuelewa ila soma mara 10 kumi.
Summary
Iwe na tumia Biblia version yoyote ile. Maandishi hayo yako ya juu uliyotoa "kuhusu utatu " hayako . Na huo mstar wa 53 haupo na mandiko mengine uhalali gan umemanisha.
Wewe umeyatoa wapi?.
Omba msamaha umepotosha jamii au futa /rekebisha yale mandishi.
Mkuu Castle_Lite wewe ndo unachanganya ndo unazidi kuonyesha udhaifu wa biblia sasa na nuku hiyo KJV.Na hapa ndio nataka KUPIMA Ukubwa wa Uelewa wako.