King Crazy G.K wa E.C.T | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

King Crazy G.K wa E.C.T

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by munisijo, May 10, 2012.

 1. munisijo

  munisijo JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 868
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 60
  Wanajanv, kwa muda sasa nmekua nikijiuliza, mtajwa hapo juu...awali akiwa East Coast Team founding member na mshabk mkubwa wa usanii wa ki-makundi na uhasama! Kuna kpnd alijiimua na nkadhan Mwa-FA na A.Y wasngeweza kuwika bila yeye lakn kiukwel, sjaskia lolote kumhusu kwa mwaka wa 5 sasa!

  Jaman, kwa yeyote, mwenye lolote kumhusu mtu huyu...yupo wap?Anafanya nin na anaendleaje?,,atujuze!
   
 2. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  nilisikiaga anasoma chuo fulan hapa town,cjajua chuo gan
   
 3. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Yupo Uganda,anasomea Mass Communication,
  na alioa mwaka jana mwezi wa 11,yuko quiet coz
  anamlea mwanae Rachel.
  Ila now yuko likizo.
   
 4. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  tutamkumbuka daima milele' jamaa alitesa kweli enzi zake! Kweli kila nabii na wakati wake.
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kila zama na matukio yake
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Niite G.K aka Bokassa wenye chuki wamekwisha nasa.
   
 7. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Nakumbuka nilichaguliwa tumaini ya dar mass com, nkaliona jina lake in list ya wanafunzi wa mass com 2009, bt me sikusoma pale cjajua ka aliendelea or
   
 8. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mama yake ni mbunge wa cdm viti maalumu mbeya
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  mama yake ni mbunge, inatosha wanakula posho tu sasa
   
Loading...