King Athumani Majuto, Mzee Majuto

Hivi huyu mzee kafanyiwa nini na CCM? Nimezaliwa nikamkuta ni msanii mpaka leo anaishi kwa nguvu za jua.Kweli mtu ukizeeka unageuka mdoli.
 
Hata mimi ccm wakiniletea hela nachukua ila kura yangu kwa ukawa mwanzo mwisho.
 
Hivi huyu mzee kafanyiwa nini na CCM? Nimezaliwa nikamkuta ni msanii mpaka leo anaishi kwa nguvu za jua.Kweli mtu ukizeeka unageuka mdoli.

Ana nyumba 4, kima wewe...babayako anazo ngapi?
 
Hivi huyu mzee kafanyiwa nini na CCM? Nimezaliwa nikamkuta ni msanii mpaka leo anaishi kwa nguvu za jua.Kweli mtu ukizeeka unageuka mdoli.

Kwani huoni hata picha yenyewe ni ya kutengeneza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…