Kinehe a bhanu mulimo umu?

Matulu wanyu ipho r'ako. Mukushelya muich kyi konyu, mokyelio ipho tigon.
 
Ndo maana nasema hakuna kabila primitive kama wasukuma. Hata kwenye gari unakuta mmoja kaka kule nyuma anaongea kwa masauti na aliyekaa kule mbele, bila kujali wanawapigia kelele wenzao wasiohusika...
 
Naona unatafutia watu ban kwa nguvu, watu wanajadili mambo yao kwa kutumia lugha yao wewe kinachokuwasha nini? Si utembelee majukwaa mengine yapo mengi tu au kama unapenda jukwaa hili basi kuna topiki zingine nyingi kwani lazima uangalie hii ya kisukuma, kama ni primitive waache na uprimitive wao hawajaja kwako kuomba hifadhi wala kuomba unga.
 
wewe ndo unawatafutia watu ban kwa nguvu coz ka mnataka ukabila si muiombe BASATA iwaanzishie jukwaa lenu, hili siyo jukwaa la wasukuma so kumwambia mtu achague threads za kusoma kisa tu wewe unataka kufanya ukabila siyo uungwana, nahisi pia utakuwa mdini wewe
 
Kwa hiyo kwa akili yako unajua ukabila ni kuongea lugha ya kabila lako sio? Na kama udini ni kusali na kuhudhuria kanisani basi nakubali mimi ni mdini.

Unaposema mimi natafutia watu ban kivipi? Mimi sijamprovoke mtu yeyote humu ndani na huyo jamaa yako na bangi zake kaja kuita watu primitive kisa tu wanaongea lugha yao halafu unataka nikae kimya inawezekana kweli? Wamasai wakifunga lubega na kuuza dawa za kienyeji watu wanasema wanatunza mila sisi tukiongea lugha za makabila yetu tunaitwa primitive halafu unataka nikae kimya wewe vipi?

Narudia tena majukwaa humu ni mengi na topiki ni nyingi usifikiri kila topiki itakufurahisha, kuna topiki zingine zinahusu Engineering na wengi hawajui chochote kuhusu engineering lakini wanapita kimya na zingine zinaandikwa kwa kiingereza na si watu wote wanajua hicho kiingereza wengine wanapita kimya, kwani nyie kuna mtu kawashikia bunduki mpite hapa tuacheni na lugha yetu na wala hakuna mwenye exclusive right ya kuamua watu wawasiliane kwa lugha gani.

Halafu unasema niwaambie BASATA waanzishe jukwaa la kisukuma kwa hiyo hayo majukwaa mengine ya JF yameanzishwa na BASATA?
 
Ndo maana nasema hakuna kabila primitive kama wasukuma. Hata kwenye gari unakuta mmoja kaka kule nyuma anaongea kwa masauti na aliyekaa kule mbele, bila kujali wanawapigia kelele wenzao wasiohusika...

Primitive kwa sababu wanaongea lugha yao?

Ushawahi kutumia subway la NYC?

Watu walioendelea wana embrace diversity mpaka kuna maelekezo yameandikwa mpaka kimandarin, nini kuongea tu.

Sie tunataka kuwa clones.

Roulette kaanzisha thread ya kifaransa hapa. Hajasemwa mkabila. Au kwa sababu kifaransa?

Mtu anaweza kuongea Kiswahili kama marehemu Kaka Ditto na akawa alwatan Saigon ka Kikwete na akawa mkabila.

Na sie wengine tunaochukua fursa hii kujifunza lugha za makabila ya Tanzania tukajua undugu wa binadamu wote.

Acha mawazo finyu.

Whats next? Utakataza watu kicheza ngoma zao kwa kuwa ni "ushenzi"?
 
Jidula mite ong'wanyangaki
uulu nalizagulala nengaga gumpanda
bhalapolomoka abhanangulu
nisi yubhaka moto
pye nabhanajiji bhalinga umlukhumbe
OCHAGA NYANGAKI
 
Back
Top Bottom