Paschal Ruta Member Joined Jul 16, 2016 Posts 42 Reaction score 27 Oct 22, 2019 #1 Wadau wa maendeleo, Nahitaji a power cable/USB adapter ya Kinect XBox 360 Sensor ya kuweza kuconnect Kinect Sensor kwenda kwenye computer. Hata ikiwa used ni poa, muhimu iwe inafanya kazi. Ni muhimu kujua ni ya XBox 360 na SIYO XBox One. Cable na adapter yenyewe ni kama hii kwenye picha.
Wadau wa maendeleo, Nahitaji a power cable/USB adapter ya Kinect XBox 360 Sensor ya kuweza kuconnect Kinect Sensor kwenda kwenye computer. Hata ikiwa used ni poa, muhimu iwe inafanya kazi. Ni muhimu kujua ni ya XBox 360 na SIYO XBox One. Cable na adapter yenyewe ni kama hii kwenye picha.