Kinatafutwa chumba na sebule cha kupanga. Ubungo, sinza, mwenge au k'nyama.

Comrade ZD

Member
Jan 7, 2013
26
11
Sifa: kiwe self contained, uzio, packing, jiko/store na luku ya kujitegemea.

PM
Thanks!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Sifa: kiwe self contained, uzio, packing, jiko/store na luku ya kujitegemea.

PM
Thanks!


ipo nyumba ya chumba kimoja chenye master.
ipo mikocheni..mitaa ya Dolphin,
parking ipo na
ipo inajitegemea yenyewe na iko ndani ya fence,
bei 250,000/=
0715547184
 
Back
Top Bottom