Kinasa sauti

Unataka kurekodi/kunasa sauti kwa ajili ya matumizi gani?...hapa naulizia quality ya sauti unayoitaka....ila kama ni kwa matumizi ya kawaida unaweza kutumia simu yako ya mkononi na mambo yakaenda sawa sawia.

quoted from bibilia.."watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
 
Ni tafiti mkuu mahojiano ya masaa zaidi ya mawili na kazi yenyewe ni kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…