Kinana anasubiri kusomeshwa namba na J. Maghembe.Hoja yako haina mashikoo ni ya maji taka huna cha kufanya unabaki kuchonga tuu
Yupo anawinda!Tangu CCM imepata ushindi wale waliozoeleka kutoa matamko katika TV sasa wamekimbia siwaoni tena hata Katibu Abdullaman Kinana ambaye alidriki kuita mawaziri mizigo naye kimya!Sasa sijui siku nani msemaji wa CCM maana zamani kila mtu aliweza kusema chochote anacho jisikia leo wote kimya...basi hata kujisifu kupata Rais mchapa kazi! Kimya kimya au hawafurahishwi na utendaji kazi wake? Ni swali nauliza.
Nasikiaana nyumba msimbazi imepigwa XTangu CCM imepata ushindi wale waliozoeleka kutoa matamko katika TV sasa wamekimbia siwaoni tena hata Katibu Abdullaman Kinana ambaye alidriki kuita mawaziri mizigo naye kimya!Sasa sijui siku nani msemaji wa CCM maana zamani kila mtu aliweza kusema chochote anacho jisikia leo wote kimya...basi hata kujisifu kupata Rais mchapa kazi! Kimya kimya au hawafurahishwi na utendaji kazi wake? Ni swali nauliza.
Na Msukuma anaongeza bidii ya kubwabwajaWamegundua walikuwa wanampigania mtu wasiyemjua. Angalia hata uteuzi wake jamaa anateua ambao hawakushughulika na chochote kwenye kampeni na kuwaacha waliojitoa mhanga kumpigania. Unaona hata Bulembo ameshtuka kwamba anasahaulika ikabidi aende ikulu kujionyesha kwa gia ya kumtakia heri ya mwaka mpya mheshimiwa. Yaani so sad kwa ccm maslahi
Ndo maana tunasema tuwe na akiba ya maneno. Hapa kazi tuNikifikiria huwa nacheka kweli,maana Kinana alikuwa akiwaita mawaziri wa JK kuwa ni mizigo akiwemo MAGHEMBE,sasa waziri mzigo amepewa uwaziri wa mali asili na utalii SIJUI ITAKUWAJE.
Hilo nalo Jipu ila skui Mbuzi ama Ng'ombe!!!!!!!!!!!! Anajua Kinana mwenyeweKwan tembo wameisha?
ukifungulia redio unasababu tena ya kuimba? siunakaa pembeni unasikiliza nyimbo, subiri june utamsikia tena akibadili tune.Tangu kutangazwa kwa baraza la mawaziri na kurudishwa na mawaziri mizigo,sijamsikia tena Comrade Kinana,mwanamikakati huyu amekubwa na dhahama gani?namsikia Bulembo tu,he is doing like Secretary.Watu wanahoji labda ameamua kujinyamazia anajua Magufuli hawezi kutoboa.Sijui,labda mikwara ya Magufuli ilimtia kinyaa akaamua kupiga bunda.Au labda wamezinguana na mwenyekiti baada ya Ba Mdogo kupigwa chini.Wengine wasema yupo busy anakusanya risiti za retirement za masurufu ya uchaguzi maana hii mikwara ya Mkuu wa nchi