Kinana hawezi kutoka ccm anajua akitoka tu kesho yake anapandishwa kisutu......Ana madudu mengi sana sana.....anzia ile kashfa pembe za ndovu kusafirishwa kupitia kampuni yake na mmiliki akiwa yeye nenda makampuni yake yanakwepa kodi Ana makapuni zaidi 5.....WIA wamedaiwa ma kodi kibaoo.....sixtelecom wanadaiwa kodi na pia wamehujumu uchumi.....kwenye mambo ya simu za kimataifa.....kesi ile nzito!! Kampuni zake za clearing and fowarding na wakala w ameli umeiba sana sana.....kuna deal moja walipiga wakati kuleta ile kampuni ilijenga mwendo kasi.....ana kashfa pale pia!!! Hawezi kutoka ccm!!!!