Wana jamvi naomba tujadili kwa pamoja uhalali wa katibu mkuu wa CCM kukagua miradi ya maendeleo ambayo imetokana na michango ya wananchi.
Leo Kinana alitaka kufungua shule ya sekondari moja Tarime Nyamongo lakini wananchi wamekataa na badala yake atafungua ofisi ya CCM kata ya Nyarero.
Hii tabia ni mbaya sana na kama yeye ana uhalali huo basi makatibu wakuu wa vyama vingine nao wafanye hivyo.
Naomba maoni yenu.
Source, ni mimi mwenyewe nipo Nyamongo.