Kinana kusimamia uchaguzi nchini Kenya

Kinana kusimamia uchaguzi nchini Kenya

Huyu Bwana si msomali?Atakuwa ameenda kwao kenya kuna wasomali wenzake.Pia kuomba ushauri kwani mbele yake kuna "NGUVU YA UMA"pepoziii

Naomba kuuliza hivi hapa TZ makabila gani ndio wazawa halisi? mimi ni Msambaa najia kuwa ni mtanzania halisi, Je wewe mwenzetu????????
 
Ufisadi unahamia Kenya, Rostam na Kinana a.k.a. Jangili
 
Hakuna jipya hapo.wizi wa kura na uvunjaji wa demokrasia ni kitu cha kawaida huku afrika mashariki.uteuzi wa kinana ni alama tuu ya kile kinachoendelea huku.kinanaaaaaaaaaaa.......weka mbali na tembo.
 
Kinana anaenda kuchakachua kwa niaba ya upande upi, CORD au Jubilee?
 
Kamati ya EAC ya kusimamia uchaguzi wa Kenya!?
Na IEBC itakuwa inafanya kazi gani???

Nadhani mtoa hoja utakuwa hujakielewa hicho chombo anachokiongoza ivory thug huko nchini Kenya.

Kinana anasisamia kamati ya watu 27 kama mwenyekiti; alikini uchaguzi kazi ya kamati hiyo ni KUTIZAMA
 
Minadhani walio mchagua Kinana hawajakurupuka kama wao wanamwamini hasa kwa utendaji wake wa kazi hasa alipo kua speaker wa Bunge la EAC,kwani imamizi wa uchaguzi ndiye anae iba kura?Watu wenye uwezo wa kuchakachua matokeo ni wale wanao hesabu kura pamoja na mtangaza matokeo
 
jina lako unaitwa kilabuni .utakuwa umelewa mida yote
 
Kenyans mnastahili kujilaumu kwa hili,mlipofuka nini mpaka mkamwamini Kinana ambaye huku kwetu ni criminal mkubwa?
 
Back
Top Bottom