Malaika Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 902
- 909
Mbunge wa jimbo la Arusha Kanali Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika jimbo hilo mwaka 1985 huku akiwa amevaa kombati za kaki. CHADEMA waliiga aina hii ya mavazi na kujifanya wamebuni wao.
Vijana wengi mnaotukana humu mlikua bado hamjazaliwa wengine mliku mmezaliwa ila Kamasi zimejaa kwenye pua zenu
Hayaa nasubiri povu .....
Vijana wengi mnaotukana humu mlikua bado hamjazaliwa wengine mliku mmezaliwa ila Kamasi zimejaa kwenye pua zenu
Hayaa nasubiri povu .....