Kinana azidi kukiimarisha chama itobo chalinze

Kinana azidi kukiimarisha chama itobo chalinze

security guard

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
799
Reaction score
603
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana Katika ziara yake ya wilayani Nzega leo amefika Itobo na kufanya mkutano mkubwa Itobo Sokoni,na kuingiza zaidi ya wanachama wapya 700 na huku wengine wakijiunga kutokea vyama vya upinzani.

Katibu Mkuu akiwa ameongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ,leo alishiriki katika kuweka jiwe la msingi ofisi za CCM Tawi ,kukagua miradi ya maji .
 

Attachments

  • 17.jpg
    17.jpg
    59.6 KB · Views: 119
  • 6.jpg
    6.jpg
    42.8 KB · Views: 108
  • 1.jpg
    1.jpg
    45.7 KB · Views: 93
  • 5.jpg
    5.jpg
    73.5 KB · Views: 96
  • 14.jpg
    14.jpg
    61.8 KB · Views: 106
Mbona waliopo wote Haya 500 hawafiki
 
Mnawadhihaki wakulima kweli..hata aibu hamuoni
 
Back
Top Bottom