CCM ni mbaya acha kulemba
- Walimu wananyanyasika na wanadai zaidi ya bilioni 25...soma mwananchi la leo ukurasa wa 4 column ya 4 paragraph 5 utaona.
- Polisi pesa zao za kwenda kufanya mauaji ya Mwandishi wa habari kule Nyororo mufindi walikuwa wanalalamika hawajalipwa.
- Kutekwa kwa ulimboka wamekamata mtuhumiwa mkichaa na wakati wameambiwa wahusika wanatoka ikulu
- Madaktari wanalia
- Wagonjwa wanakosa vipimo vya CT scan muhimbili sasa hospitali ndogondogo za wilaya inakuwaje
- Ardhi ya wakulima na wafugaji wameichukua,,,....kumbuka hotuba ya Halima mdee bunge la mwaka juzi
- Viwanda wamejiuzia
- Nyumba za serikali wamewapa wake zao
- Miradi wanajigawia
- EPA wamekula
- Richmondi @day mil 152 wamekula kwa miezi 22
- Dowazi inadai fidia wapewe mafishadi.
- Tembo wamewamaliza....alafu unataka kinana aseme shishiem mbaya na tembo wanamkimbilia!!!!!!!!!!!!
- Elimu wanajipatia Udokta bure bure wameshindwa uprofessor tu.
- Wezi wanajiudhuru wasamalia wanaozea jela kwa kubambikizwa kesi.
- Vyeo wanapeana kwa kujuana na sio weredi.
- Watoto wao wanapewa ukuu wa wilaya ona wakina John Mongela, wengine wamejaa ikulu na BTo alafu unataka waseme cdm nzuri wakati inawakosoa!!!!!
- Wakurugenzi wanatuibia sana na wanahamishwa vituo.
Jamani kama macho yenu hayaoni si hata mnuse na kama hamuwezi kunusa basi na mpapase
Haya ni kwauchache tu,ulitaka waambiwe nani wakati ccm ndio wanaofanya haya na ndio wanaongoza inchi hii tangu uhuru????? :yo: