Kinana amesema kuwa chama cha domocracia na maendelea ( chadema) kinaendelea kushika kasi ya kuporomoka na hatimaye kitasahaulika katika medani ya siasa za Tanzania baada ya wanasiasa wake, wabunge na wakereketwa kuendeleza siasa za maji taka ikwemo uzushi na uongo. Ameseama anasikitishwa na kasi ya chama hicho kuzidi kuporomoka kwa kasi ya ajabu hali ambayo itaipa ccm ushindi wa 99% katika uchaguzi wa 2015 na kukosa upinzani kabisa wa kuongoza dola.
Amewataka chadema wajirekebishe ili waendelee kuwa wapinzani kwani bado CCM inahitaji changamoto zao katika kuendelea kuitawala Tanzania; Hawa chadema wanabaya mengi sana ila wanamazuri kiasi hatutaki wapotee kabisa wanatakiwa kuwepo kiana kutupa changamoto lakini kwa jinsi wanavyoenenda sasa watatumbukia katika shimo ambalo hawataweza kutoka tena wajirekebishe kabisa nchi itakasa wapinzani kabisa na kuwa nchi ya chama kimoja hali ikiendelea kuwa hivi.
Kuhusu vyama vingine vya upinzani Kinana alisema vyama hivyo vimeshapotea kabisa katika ramani ya Tanzania na inawezekana baada ya uchaguzi wa 2015 vyama vyote vya upinzani vitasambaratika kabisa hakuna kitu huko tulikuwa na hofu na haya majamaa ya chadema lakini sasa inasikitisha na yenyewe yanakoelekea siko kuzuri.
maneno hayo amenaswa akiyazungumza katika hoteli aliyokuwa amejipumzisha huko mkoani njombe akiendelea na shughuli za kuimarisha chama na kuomba ridhaa nyingine ya akuiongoza Tanzania kwa 50 mingine.
Source: wafatiliaji wa siasa njombe.
hahahahaha naomba kunukuuu
'''maneno hayo amenaswa akiyazungumza katika hoteli aliyokuwa amejipumzisha huko mkoani njombe akiendelea na shughuli za kuimarisha chama na kuomba ridhaa nyingine ya akuiongoza Tanzania kwa 50 mingine.'' mnatufurahisha sanaaaa. wakati jamaa akiwa kajipumzisha kitandani, chooni akikata gogo, sebuleni au kwenye makochi ya hoteli??!!
Hotuba nyingi za viongozi ambao walikuwa ni madikteta zilitolewa mda wa mchana baada ya watu kukaa mda mrefu wakisubiri au baada ya watu kula. kipindi hiki damu nyingi husukumwa kwenda tumboni kusaidia uyeyushaji wa chakula. So huu si wakati mzuri sana kwa mtu makini kuongea na vingi atakavyoongea viitakuwa ni utumbo maana akili huwa kwa kipindi hicho imeelekea zaidi maeneo hayo ya mwili. This is a scientific fact.
Turudi kwa Kinana na wanaCCM kwa ujumla
Mnaimba wimbo wa chadema mara nyingi kuliko wa CCM, na sasa nimedhibitisha hata viongozi wenu wakuu ni waumini wakuu wa CHADEMA.. UTAKATAA UTASEMA MBONA WANAICHUKIA...!!?? YOUR WRONG?!! HUWEZI UKAMCHUKIA MTU USIYEMPENDA.. UKIMUONA MWANAUME ANONGEA MANENO YA KUMKASHIFU MWANAMKE ALIYEACHANA NAE ELEWA BADO ANAMPENDA.
USHAURI KWA KINANA; JENGENI CCM NA MTUAMBIE NINI MNAFANYA MNATUTOA VIPI KWENYE UMASKINI, MNAPAMBANA VIPI NA RUSHWA NA UMASKINI, HUDUMA ZA JAMII MNAZIBORESHAJE.. HIYO NDIO CONTRACT TULIYOWEKEANA KATI YETU WANANCHI NA NYIE CHAMA TAWALA NA INAISHIA 2015.
NAJUA MNATAKA KURENEW CONTRACT. SASA KUWENI MAKINI NA KAULI ZENU. CHADEMA WANACONTRACT NYINGINE AMBAYO NI KUWAKOSOA NA KUWAPA MAWAZO MBADALA. NA WENYEWE TUTAWAPIMA MUDA UKIFIKA. HIZI JANJA JANJA ZA KUFIKIRI KUWA MTAKUWA CHAMA CHA KUTAWALA TANZANIA MILELE ZINA MWISHO