Kinana apata aibu Muhambwe,akimbia

Kinana apata aibu Muhambwe,akimbia

4.jpg

Hapa vipi nayo ni aibu ya LOWASSA, kakimbia

Hapo wameenda kumpokea kamanda.

Nyomi ipo uwanjani.
 
HAKIKA NI AIBU YA MWAKA NILIKUWA NATOKA KIGOMA GARI IKAPITA MAENEO FLANI YA UWANJA WA VIJANA BAADA YA GARI KUSIMAMA TUKAULIZA DUUH....SIKUWEZA KUAMINI !

-Hii ni fedheha kwa c.c.m na kinana wao....
 
Mr.Chin uko vizuri endelea na utundu wa masaki ila hali halisi inajulikana.Pembe la ng'ombe....Halifichiki...
 
Kuna sheria ya watu kukaa mita kazaa kutoka chombo kinapo tua ama kuruka so msitegemee kuona umat kwenye helicopter mara nyingi wanachora ama kuweka utepe wa njano.
 
View attachment 297120

Kinana ameukimbia mkutano wa jimbo la Muhambwe(Kibondo) baada ya kukosa watu, kinana aliyeingia kwa mbwewe za Helcopter maarufu kama
( CHOPA) Alishangazwa na kuona uwanja ukiwa mweupe bila watu. Ambapo aliamua kusepa na kuacha gumzo ndani ya mji. Huku akiwaacha wana CCM wakirushiana MASUMBWI au NGUMI, baada ya mtafaruku wa makundi ambayo mpaka sasa yanaendelea kufukuta. Huku kukiwa na kundi ambalo linaunga mkono mgombea UBUNGE (NDITIYE) na lingine likiwa haliungi mkono likiwa linaunga mkono aliyekuwa mshindi wa kwanza aliye enguliwa (JAMALI TAMIMU).

HALI SI SHWARI

Hii chopa wangeitumia kupakizia pembe na minofu ya ndovu kuliko kumaliza mafuta kwenye kampeni zisizo zaa Matunda.
 
Back
Top Bottom