maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,422
- 957
Kinana ameukimbia mkutano wa jimbo la Muhambwe(Kibondo) baada ya kukosa watu, kinana aliyeingia kwa mbwewe za Helcopter maarufu kama
( CHOPA) Alishangazwa na kuona uwanja ukiwa mweupe bila watu. Ambapo aliamua kusepa na kuacha gumzo ndani ya mji. Huku akiwaacha wana CCM wakirushiana MASUMBWI au NGUMI, baada ya mtafaruku wa makundi ambayo mpaka sasa yanaendelea kufukuta. Huku kukiwa na kundi ambalo linaunga mkono mgombea UBUNGE (NDITIYE) na lingine likiwa haliungi mkono likiwa linaunga mkono aliyekuwa mshindi wa kwanza aliye enguliwa (JAMALI TAMIMU).
HALI SI SHWARI