jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,382
- 4,902
nyie wahaya hata stendi imewashinda kujenga....inafanana na majaruba ya mpunga kwa jinsi inavyojaa tope....soko ni chafu sijapata kuona
"Tunakaa mbezi, masaki, obay....of course na uswizi, SA, marekani na canada..., tujenge stendi ya nini wakati tunapanda ndegee?"