Katibu Mkuu ni Mtendaji mkuu wa chama, karibu matukio na mipango yote ya chama iwe mizuri au ya hatari mratibu na mtekelezaji wake mkuu ni Katibu Mkuu, kuna matukio mengine hufanyika bila Mkiti kujua anategemea kupewa mrejesho na Katibu Mkuu.
Kwenye uchaguzi Mkuu uliopita ambao ulilalamikiwa kuwa na rafu nyingi, Kinana alikuwa kama project manager kwenye chumba cha kujumlishia kura, ndiye aliyekuwa anaruhusu kura zipi zipelekwe NEC na zipi zibadilishwe, kwa hiyo anajua kura halisi alizopata Rais Magufuli.
Ni risk kubwa hata Mkiti anajua kuendelea kuwachokonoa Makatibu wakuu wastaafu, kuna siku watalazimika kujibu mapigo kwa kumwaga madudu yote hatarishi yaliyokuwa yakifanyika ndani ya chama, ikiwepo mipango ya kuwaangamiza wapinzani, utekaji na hata mauaji, na hapo ndipo utakapokuwa mwanzo wa kusambaratika kwa chama kama ilivyotokea kwa chama cha KANU.