Kinana amerejea kazini, ni mwisho wa fununu.

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,278
25,846
Kulingana na Taarifa kwa Vyombo vya Habari ya CCM,Katibu Mkuu wa chama hicho Abdulrahman Kinana yuko katika ziara za ndani za kichama ikiwemo nje ya Dar es Salaam.

Taarifa hiyo inayokanusha ushiriki wa CCM katika linalotajwa kama Kongamano la Kidemokrasia,imesainiwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Humphrey Polepole.

Fununu zote za mahali na hali ya alipo Kinana zimeishia hapo.
 
Bhavichaa mwaka huu mtatunga uongo sana maana ndio sera mliyobaki nayo, kusubiri kauli ya mkuu na kuismamia, kusubir wagen wakija na kuponda na kupinga kila kinachofanywa na serikali basi
Watumie salamu hao BAVICHA
 
Anaweza kuandika pp yake kuonyesha ni lini aliondoka nchini kwenda wapi pamoja na ushahidi wa hospitali aliyolazwa? Tusifanye mambo na kujibu kibadhitebadhite
 
Kulingana na Taarifa kwa Vyombo vya PHabari ya CCM,Katibu Mkuu wa chama hicho Abdulrahman Kinana yuko katika ziara za ndani za kichama ikiwemo nje ya Dar es Salaam.

Taarifa hiyo inayokanusha ushiriki wa CCM katika linalotajwa kama Kongamano la Kidemokrasia,imesainiwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Humphrey Polepole.

Fununu zote za mahali na hali ya alipo Kinana zimeishia hapo.
Enzi ya kinana alipokuwa na nape alikuwa ananoga sana,walikuwa wanajibu hoja zote za chadema bila ngumi
 
Kulingana na Taarifa kwa Vyombo vya PHabari ya CCM,Katibu Mkuu wa chama hicho Abdulrahman Kinana yuko katika ziara za ndani za kichama ikiwemo nje ya Dar es Salaam.

Taarifa hiyo inayokanusha ushiriki wa CCM katika linalotajwa kama Kongamano la Kidemokrasia,imesainiwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Humphrey Polepole.

Fununu zote za mahali na hali ya alipo Kinana zimeishia hapo.
Ile likizo ya ugonjwa imeisha? Polepole hivyo viatu vinampwaya!
 
Kulingana na Taarifa kwa Vyombo vya PHabari ya CCM,Katibu Mkuu wa chama hicho Abdulrahman Kinana yuko katika ziara za ndani za kichama ikiwemo nje ya Dar es Salaam.

Taarifa hiyo inayokanusha ushiriki wa CCM katika linalotajwa kama Kongamano la Kidemokrasia,imesainiwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Humphrey Polepole.

Fununu zote za mahali na hali ya alipo Kinana zimeishia hapo.
Mapumziko muda mrefu yameshaisha?
 
Vijana wa lumumba walivyo kihele hele kweli kinana angekuwa maeneo yao lazima wangepost mapicha picha

Tujiulize tu uko mikoani ni wapi

Kongamano la jana ni jibu lingine kinana bado yupo mapumziko waliosema maana hakutokea ingawa ccm walitoa sababu kibao

Yani mda huu chama nadhani kinatumia kila aina ya ushawishi ili kinana atoke tu hadharani ili wadau wa mitandaoni waibike ila ukweli ni kwamba mambo siyo shwari chama kipo kumbembeleza mzee
 
Anaweza kuandika pp yake kuonyesha ni lini aliondoka nchini kwenda wapi pamoja na ushahidi wa hospitali aliyolazwa? Tusifanye mambo na kujibu kibadhitebadhite

DUUUH WE JAMAA KIBOKO! YAANI BADO UME NG'A NG'ANA TU! AKISHAANDIKA LINI ALIONDOKA NA USHAHIDI WA HOSPITALI ALIYOLAZWA ITAKUSAIDIAJE KATIKA HIZO TAABU ZAKO ZA KIMAISHA? BADILISHA MUELEKEO FANYA KAZI, LA SIVYO UTAZIDI KUTESEKA !
 
Kulingana na Taarifa kwa Vyombo vya Habari ya CCM,Katibu Mkuu wa chama hicho Abdulrahman Kinana yuko katika ziara za ndani za kichama ikiwemo nje ya Dar es Salaam.

Taarifa hiyo inayokanusha ushiriki wa CCM katika linalotajwa kama Kongamano la Kidemokrasia,imesainiwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Humphrey Polepole.

Fununu zote za mahali na hali ya alipo Kinana zimeishia hapo.
Kwahiyo polepole alitudanganya. Si alisema yupo likizo? Nahisi itakuwa amemaliza mgomo baridi. Na CCM itakuwa wa roho mbaya kinana kaumwa kapelekwa India kurudi kapewa likizo ya kujiuguza Hakuna hata kiongozi mmoja aliyemjulia hali. Wafuata mkumbo wa lumumba wakiongozwa Na pole pole watasema tukienda kuangalia mgonjwa Sio lazima kujionyesha, helll no . Mara ngapi Jpm Na jk wamekuwa wakiwatembelea wagonjwa mashuhuri Huku wakiwa wameambatana Na vyombo vya habari. Jpm mwenyewe alipoumwa mkewe alifuatana na vyombo vya habari.

Kilichobaki ni kushukururu kinana kaamua kuacha mgomo.
 
Asije akawa amelishwa vile vitu vinavyoondoa uwezo wa kufikiri kama alivyofanyiwa mwa ki embe
 
Back
Top Bottom