Kinadada wa kanda ya kaskazini pitieni hapa

M CM

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2012
Posts
2,498
Reaction score
1,484
Jamani hata mimi nahitaji mwanamke wa kuoa niliyokuwa naye alikuwa matumizi ya hapa na pale kama burudani.
Nipo serious na hii ishu ya kuoa maana nimechoka kuibaiba visivyo halali.
SIFA ZA MWANAMKE:1.Awe mkaaji wa kanda ya kaskazini, Ar,Kl na MRN
2.Awe mwalimu mwenye cerfificate au dip
3.Awe mkristo wa dini yoyote
4.awe na mvuto na umri usizidi miaka 27
NB: Hata kama hujaariwa ili mradi una hiyo profesional ya ualimu unakubalika sana .

Atakayeridhika na maombi yangu an PM tutawasiliana kwa mipango na maandilizi mengine.
 

wacha wee ebu nimstue shoga yangu mmoja hapa
 
Hebu nipitie hapa Marangu TTC.......kumbe ni wewe nilikuwa nakuota eeeh.........
 
I like them too!
 
Heew unataka awe mwalim kwan anakuja kukufundisha hisabati
 
unataka mwalimu eeh?? walimu ilikuwa zamani siku hizi hata hawaeleweki.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…