Kinachowakimbiza wachaga na wameru kaskazini -ukweli mchungu!

Status
Not open for further replies.

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,951
29,532
Hizi mbwembwe za wachaga na wameru kukimbia kaskazini na kwenda maeneo mbalimbali nchini isichukuliwe kuwa ni sifa nzuri bali ni hulka mbaya ya uwoga.

Wengi wa wachaga na wameru au wakaskazini kama wanavyojiita wamekimbia makwao.

Kimsingi hawajakimbia hivi hivi tu bali ni hulka ya woga dhidi ya wazungu ambao kwa kiasi kikubwa ndio wamemiliki uchumi na ardhi ya kaskazini.

Kumekuwa na taarifa isiyo sahihi eti wakaskazini ni watafutaji...taarifa hii ni scapegoat tu lakini ukweli ni kuwa hali ya maisha kaskazini ni ngumu kwa mzaliwa wa huko kukabiliana nayo.

Ukienda maeneo ya Meru na Klilimakyaro Ardhi kubwa imeshikwa na wazungu na vibarua wa zamani wa kinyaturu.

sasa jamii ya wakaskazini kwa kuwa haina ubabe wa kivita imejoonea isiwe tabu na badala yake imeenda maeneo tofauti tofauti ya nchi na kujipendekeza ili kujipatia hifadhi.

Jamii ya kaskazini haswa ya kichaga ni mfano wa jamii kubwa iliyopoteza identity yake kwa kuiga uzungu.

Jamii ya kichaga ni jamii iliyo kwenye mahangaiko makubwa ya kujaribu kutafuta na kuionesha identity yake baada ya psychological trauma ya kutawaliwa na wazungu.

mojawapo ya dalili ya frustration ni unywaji wa pombe kupita kiasi.

Kama jamii hii ya kichaga ina nguvu basi ingeweza kuwaondoa wazungu masetlers walioshika mahekari ya ardhi huko Arusha na moshi.

Joshua Nassari alianza kwa mkwara mkubwa wa kutaka kunyakua mashamba ya wazungu kule dolly estate lakini aliufyata.

Hivyi tusishangae na grandiose ideas za wanaJf wenye asili ya huko uchagani kwani ni dalili tu za frustration kubwa waliyokumbana nayo.

Tuendelee kuwalea kama watanzania wenzetu walioathiriwa na mkoloni.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!

Matusi weka pembeni!
 
acha uongo wewe mzungu anashikilia uchumi na ardhi ya kilimanjaro? labda unazungumzia karne ya 20 na si karbe ya 21,
 
kwakifupi settlers hawakukaa maeneo yote ya tanzania walikalia sehem chache mfano bukoba, kilimanjaro, rungwe nk. nikweli jamii hizi zilikuwa dhaifu ndio sababu walishindwa kupigana vita na hawa wazungu, lakin kumbuka kwamba wachaga walishaanza kufanya biashara na makabila mengine hata kabla ya ukoloni na hata sasa wengi ni wafanyabiashara ba wanafanya biashara sehem mbalimbali za tanzania
 
Wameshikilia wachache hata hivyo ardhi,kama Kenya wanasema hawana.ardhi wachache wameatamia maeneo
 
kwakifupi settlers hawakukaa maeneo yote ya tanzania walikalia sehem chache mfano bukoba, kilimanjaro, rungwe nk. nikweli jamii hizi zilikuwa dhaifu ndio sababu walishindwa kupigana vita na hawa wazungu, lakin kumbuka kwamba wachaga walishaanza kufanya biashara na makabila mengine hata kabla ya ukoloni na hata sasa wengi ni wafanyabiashara ba wanafanya biashara sehem mbalimbali za tanzania
Biashara za wachaga ni zile za kihindi tu!
Ni mara chache ukamkuta mzungu anauza duka la rejareja jiulize kwa nini?
 
ki ukweli maisha ya uchagani ni magumu sana.ardhi kwao ni shida kubwa .wamebaki na ardhi isiyo na rutuba .wengi kukimbia kwao na kurudi mara moja tu kwa mwaka au apate msiba
 
y

uko wrong until uje na evidence zinazoonyesha aridhi ya wachaga inayomilikiwa na wazungu ambazo hazikutaifishwa wakati wa arusha declaration/ mageuzi ya kisiasa na uchumi mwaka 1961
Nimekupa mfano wa Dolly estate ...sijui kama unaifahamu!...it is state within a state!
 
ki ukweli maisha ya uchagani ni magumu sana.ardhi kwao ni shida kubwa .wamebaki na ardhi isiyo na rutuba .wengi kukimbia kwao na kurudi mara moja tu kwa mwaka au apate msiba
ardhi yenyewe ni ndogo na idadi ya watu ni wengi, maisha magumu yanamfanya mtu atafte njia mbadala .
 
Simu yangu itaisha charge lakini nitarudi kujibu hoja
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom