Kinachowagharimu Acacia ni pale Watz walipompuuza Magufuli wakati akikamata makinikia bandarini

Mkuu wengi kwenye hii thread,wanahisi hizo trillion 400 ni za makinikia pekee,hizi zinahusisha Kodi ya matofali ya dhahabu yaliyokuwa yanapaishwa toka airport zao moja kwa moja bila kukaguliwa,ilichofanya serikali ni kuweka TISS migodini bila wao kujua na kupata data na ushahidi wa kinachoendelea na kilichokuwa kikiendelea migodini,na ushahidi upo.Tatizo jingine ni pale vijana wengi humu mnapo under estimate uwezo wa TRA,TISS na serikali kwa ujumla,Sasa hivi watu wapo makini kuliko mnavyodhani humu JF,kingine ni hizi kampuni zinazochimba dhahabu ukiangalia members WA bodi zao utagundua ni watu wanaoshirikiana,na mpango wao duniani ni Ule ule(unyonyaji),hawataki ujue ni tajiri kiasi gani?,hawataki ujue una Mali ya thamani kiasi gani,hizo data zao kwenye soko la hisa,na thamani ya kampuni zao wanazo decrare kwenye mtandao zote ni zuga,ni sawa kuandikisha BRELLA kampuni yako na asset zote ina thamani ya milioni 300 wakati huo unaingiza milioni 20 kwa siku(milioni 600 kwa mwezi),mfano wa pili,. Vodacom wamejifanya wanauza hisa mpaka wakatangaza wateja hawaji wakionyesha huruma,jiulize swali..,hivi kampuni inayoingiza zaidi ya bilioni 2 kwa siku inahaja ya kutafuta kwa bidii watu wa kununua hisa??,mfano wa tatu na wa mwisho Paris na miji mingine ya ufaransa na ubelgiji zimejengwa na madini ya D.R.C(Zaire),mpaka wakaondolewa Viza kwenda huko,Kagame na Museveni nao wakazama huko kuzoa mpaka Leo wapo(ndo panapompa Kagame jeuri ya pesa),wakongo walipogundua ndo Vita huko mpaka kiama,na madini bado yapo.Mkuu tumeibiwa sana.Ukijua ndege zilikuwa zinapakiza tani ngapi per day na ku take off straight,unaweza kutoa machozi.
Tatizo linakuja pale ambapo suala hili linatumika kwa mantiki nyingine kabisa, haliibuliwi kwaajili ya kulitatua bali linaibuliwa kwaajili ya wananchi kujenga imani kwa Mh. Na kumfanya aonekane ni mzalendo ( KIKI ), kama kweli mkuu ana nia na hayo makinikia hatua za kuchukua si zipo wazi na mapendekezo ya tume si yapo na wahusika pia si wapo?, kinachoshangaza ni mkuu kurukaruka na suala hili plus kutafuta media attention, kazi ifanyike mapendekezo yapo sio kila siku kulialia ohh tumeibiwa ohhh ACACIA wamesema hawalipi etc
 
Mkuu waweza kuwa sahihi,ila kumbuka wale jamaa walimtuma Prof Thornton akadai muda sio mrefu timu yake itakuja kukaa mezani kujadili win-win situation,mpaka sasa kimya.Tz inaendelea na uchunguzi kuwatafiti hawa jamaa migodini mwao,huku tukiviziana sisi na wao kuhusu sakata hili.Sasa na wewe jiulize kama container zilikuwa hazina thamani hiyo mbona hawajatushitaki wala kupendekeza ije timu yao ya uchunguzi makinikia ikisimamiwa na sisi(ili wasichakachue majibu yao)??,au mbona hawaendi kutushitaki?,serikali imeenda mbele zaidi na kufatilia hata Gold blocks zinazopaishwa na ndege(hii ni kimya kimya),sio kama kwenye media kama unavyodhani,hizo Trillion 400 za TRA ni Pure Gold + Makinikia,watu hawaelewi ndo maana kelele nyingi humu.Mkuu jipu litapasuka soon,watalipa au watakimbia,trust me.JPM sio wa sport sport.
 
tuache masihara, tunadai trilion 400.
 
mkuu kuna uzi wa kupata likes uko humu utafte uandike ,huu uhuru wako wa kuongea ,naona unautumia vibaya ,kwa taarifa kama wapo waliompuuza rais wew ulikua mmojawapo pamoja na lile lichama la kahawia kawasababu ya kutokuwa na uzalendo kwa nchi yenu, nikiingia madarakani nyie nawapeleka uamishoni fiji.nyambaf
Aje tumpe like

the great
 
kuwa basi na adabu kidogo ndgu yangu , hata kama umpendi mtu huweiz mwito hilo jina TAFADHALI MKUU, hilo lijina lako bandia unalotumia huku lisikufanye ukajiona uko kuzimu kwamba hatutokupata,[/COLOR=GREEN][/COLOR=GREEN]HESHIMA TAFADHALI ,UTAMCHUKIA MTU LAKINI TAFADHALI USIICHUKIE TANZANIA. TUNAHITAJI SANA HII TZ MIMI NA WEWE, TUIJENGE SOTE
Hamtompata wewe na nani? Wewe ni TISS?
 
kuwa basi na adabu kidogo ndgu yangu , hata kama umpendi mtu huweiz mwito hilo jina TAFADHALI MKUU, hilo lijina lako bandia unalotumia huku lisikufanye ukajiona uko kuzimu kwamba hatutokupata, HESHIMA TAFADHALI ,UTAMCHUKIA MTU LAKINI TAFADHALI USIICHUKIE TANZANIA. TUNAHITAJI SANA HII TZ MIMI NA WEWE, TUIJENGE SOTE
Kanywe sumu kama umechukia
 
Watu walimpuuza JPM wakati akiwakaba wahusika wa bandarini juu ya kontainer alizozikuta bandarini zilizokuwa na makinikia ya acacia. Nakumbuka hata media zilimpuuza JPM na kuvalia kidedea sakata la vyeti fake vya mkuu wa mkoa wa Dar.

Ilifikia hatua hata Spika wa bunge alifanya kanjanja na kuwapeleka waandishi wa habari bandarini ili wafungue makontaina, lakini hata media zilizidi kupuuza.

Sasa ili kuwaonesha kuwa yeye hapuuzwi, yupo tyari kufanya lolote imradi tu kiki ipatikane tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kimewaghalimu kwa vipi

Unafikiri kwanini Mkapa anaita watz wajinga na wapumbavu? Tuna waandishi wa ukweli wachache sana hapa Bongo na waliobaki ndio hawa vilaza wanaoshupalia ujinga kuandika mambo ya muuza njugu Diamond na Kiba wakati hawana maana yeyote ndani ya taifa letu. Mtu akifanya ukweli kwa manufaa ya nchi anaonekana ni adui wa taifa, I hope kwa sasa watajirekebisha na kuelimika.
 
Watu walimpuuza JPM wakati akiwakaba wahusika wa bandarini juu ya kontainer alizozikuta bandarini zilizokuwa na makinikia ya acacia. Nakumbuka hata media zilimpuuza JPM na kuvalia kidedea sakata la vyeti fake vya mkuu wa mkoa wa Dar.

Ilifikia hatua hata Spika wa bunge alifanya kanjanja na kuwapeleka waandishi wa habari bandarini ili wafungue makontaina, lakini hata media zilizidi kupuuza.

Sasa ili kuwaonesha kuwa yeye hapuuzwi, yupo tyari kufanya lolote imradi tu kiki ipatikane tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda media za nyumbani kwenu. Nakuona robot yako inauma unapokohoa yeye anawatumikia Watanzania.
 
Kilaza wenu Magu Fool anatumia nguvu nyingi bila akili ndo hapo tunamkumbusha!sasa nyie endeleeni kumshangilia tu.miaka yote serikali yenu imepigiwa kelele leo hii serikali ileile haichukui hatua kwa waliofanya hayo madudu wanasingiziwa wapinzani halafu mnashangilia. mpinzani gani alisaini hiyo mikataba?
Kama sio mhanga wa Vyeti feki, ni mhanga wa course zilizo futwa na TCU. Nyamba...f

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom