Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
hawawezi huu upepo ni noma ndo maana wanakimbia hovyo hovyo,watakimbia adi mwisho wa uchanguzi mwaka huu,
natamani UKAWA KUNITOA UKIWA ikiwa na ishara ya matumaini.,,hivi mkitengana mtawaambia nn wananchi ??mbakie hukohuko
Siasa ni mbinu jamani msihamanike ukawa wanacheza na akili za magamba bila shaka wanashochea hamu ya wantanzania kumjua Mali wào
Lipumba anatamaaa ya ajabu sijawah kuona!
haya ndo matunda ya kuwa mtanzania na nchi imetulia shuguli zinaenda kama kawa na mijizi inatembea mtaan ikitamba bila ya kuwa na wasiwasi bt cha kushangaza mbona hatupo kwenye top ten ya nchi zenye amani?Yaani hii nchi cjui nani kailoga na watu wake
Yaani tumesha sahau
ESCROW
EPA
RICHMOND
KAGODA
BUZWAGI
MEREMETA
TEMBO KUUAWA
TWIGA KUPANDA NDEGE
MISAMAHA YA MADINI
MISWADA YA HOVYO YA GESI NA MAFUTA
KUPANDISHWA HOVYO BEI YA MAFUTA
WATOTO KUKAA CHINI
AKINA MAMA KUZALIA CHINI
MATAJIRI KUTHAMINIWA
UBOVU WA BARABARA
UBOVU WA RELLI
UHABA WA MAJI SAFI NA SALAMA
KUUZWA BENKI YA TAIFA
KUUZWA KWA SHIRIKA LA NDEGE
KUUZWA KWA NYUMBA ZA TAIFA
KIWIRA COAL MINE
UKOSEFU WA DAWA HOSPITALI ZA UMMA
KUSHUKA KWA ELIMU
MIGOMO YA WAALIMU NA MADAKTARI
MIGOMO YA WANAFUNZI
MIGOGORO YA ARDHI KUTOKANA NA SERIKALI
KUWATHAMINI WAWEKEZAJI WA KIGENI
KUHODHI VIWANJA VYA MICHEZO
KUHODHI MAJJENGO YA UMMA
KULINDA WEZI, MAFISADI NA WAHUJUMU UCHUMI
KUUA VIWANDA ALIVYO VIJENGA MWALIMU
NYERERE
KUUA MASHIRIKA YA UMMA
KUONGEZA MATABAKA KWA WANANCHI
KUUA WANAHARAKATI NA WAANDISHI WA HABARI
( MWANGOSI)
KUPITISHA RASIMU ISIO YA MUAFAKA
ILIYO
FEKI
HIvyo basi,
nashangazwa na watu waelewa humu wanaosema
magufuli jembe
Wakati yupo serikalini tangu 1995
Ndani ya ccm
Nani ametuloga ??
Hapa magufuli ni pombe ile ile kwenye chupa
mpya.
Maskini Tz
Au elimu ya uraia tatizo ???
Ukawa Hawana jipya,huyo padri slaa mwizi wa wake za watu kashazeeka ataweza kupambana na kijana magufuli
KINACHOWACHELEWESHA Muunganiko wa Vyama vikuu vya Upinzani vinavyounda ukawa, kutaja Mgombea wa Urais imebainika,Anaandika KAROLI VINSENT endelea nayo. Akizungumza na Mtandao huu, Afisa Habari wa Chadema Tumain Makene amesema sababu hiyo taarifa Majimbo mapya yaliotangazwa jana na Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini NEC. Watanzania wasiwe na wasi kinachowachelesha ni Viongozi wa Ukawa ni mgawanyo wa Majimbo mapya ya uchaguzi yalioatangazwa jana na tume ya uchaguzi ndio hayo yanayojadiliwa na kuchelewesha kumalizika kwa kikao Makene ameongeza kuwa , "kwa sasa Viongozi wa Ukawa wameingia kwenye mapumziko ikiwemo kupata Futali,ila baada ya Hapo Kikao hicho kitaendelea". Vilelevile Afisa Habari huyo amewataka wana chama wa Vyama vinavyounda Ukawa Ikiwemo Chadema,CUF,Nccr Mgaeuzi pamoja na NLD wazipuuze taarifa zinaonea mitandaooni kwamba umoja huo umemeguka na kusema kwa sasa kikao hicho kinaendlea vizuri. Mwandishi wa Mtandao huu aliokuwepo kwenye Hoteli moja hapa Jijini Dar es Salaam ambapo Vikao hivyo vya Ukawa vinafanyika alishuhudia Viongozi mbali mbali wa vyama vya Vitatu ambavyo ni NLD,Chadema pamoja na Nccr-Mageuzi, CUF wakipata Chai ya jioni huku wakioneka wapo pamoja. ENDELEA KUFUATILIA UTAPATA TAARIFA KAMILI MAANA TIMU NZIMA YA WAANDISHI WAKE WAPO KWENYE MKUTANO HUO UTAPATA TAARIFA KAMILI,WWW.FULLHABARI.BLOG.COM
Ukawa Hawana jipya,huyo padri slaa mwizi wa wake za watu kashazeeka ataweza kupambana na kijana magufuli