Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 27,163
- 39,475
Na hapo ukatumia sh ngapi?hata Mwanza kuna Bar kubwa kidogo nilienda nilipofika mtu niliyekuwa naye akaomba tukae nje kwa sababu hataki kelele,akaja muhudumu wa kiume faster nikaagiza robinson yangu kubwa na binti kaagiza maji tu akagoma kula,baada kama ya nusu saa akaja muhudumu yule akaniomba nilipie sababu anamaliza shift,nikampa 27 yake nikaongeza na buku tano ya k vant ndogo na akaleta vizuri akasepa
kimbembe ni nilipotaka kuagiza vinywaji vingine,ilibidi niamke kuwatafuta wahudumu,nilipowapata nikamuagiza mmoja k vant ndogo akaomba pesa nikamwambia nitakupa mezani kwangu,nikamuelekeza na meza,aise nilikaa kama dkk 40 haijaja ikabidi niamke nikamtafute sikumpata,nikamuagiza muhudumu mwingine alileta ila nili mind sana nikawanulia bear wahudumu wote pale na jamaa fulani waliomba pale nje alafu nikaondoka baada ya kuwachana vilivyo
niliona muhudumu kahisi sina pesa wakati nina kilo tatu mfukoni