Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,637
CHADEMA wakimtangaza mgombea urais,nchi itakuwa tayari kwa Uchaguzi.
Lakini badala ya kumtangaza mgombea urais CHADEMA wanafanya utalii mikoani. Halafu Chadema hawana upendo na Umoja katika Chama chao.
Hatujaona mass exodus kutoka kwenye Chama kama iliyokuwepo Freeman alipokuwa Mwenyekiti,hata hivyo wangeweza kushirikiana zaidi.
Wakatishia watahama Chama Freeman asipoondoka,sasa mbona hawapatani?
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
No reform,no election! Ya nini.
Lissu yuko on course kuwarudisha Chadema Bungeni baada ya wao kuwa in the wilderness for five years.
Mbowe aliondola aliposhindwa kuwa Mwenyekiti. Watu walikuwa wanatishia kuhama Chadema,na Chadema ingekufa Familia yake Mbowe isingekubali.
Tushirikiane,tufanye Uchaguzi,tufanye Tanzania iwe nchi ya maziwa na asali where everyone will till his field and no one shall make him afraid.