habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
ile nyimbo ya CCM MBELE KWA MBELE ndio inatumbuiza saa hiziNdiyo habari ya hapo.......[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mie mzalendo bhana
Nadhani sasa umeelewa.Ccm wana akili sana
PamojaNadhani sasa umeelewa.
Lowassa alishindwa kwa kuzidiwa kura na JPM stori zingine ni upuuzi mtupu!!lNina swali nikuulize,Je, kushindwa kwa lowasa kulitokana na kura zake kuwa chache au ni kwasababu ccm kuwa watawala?
Una maana hapa TZ kuna kura za Wateule? Acha ulofa wewe!Jiulize ni kwa nini kule marekani wananchi wengi walimchagua Clinton lkn hakupewa uongozi, ndicho kilimtokea Lowassa,
CCM inapata heshima kubwa kwa kumkata Lowassa! Haiwezi hata kumuwaza maana imetua mzigo!!wewe mbona kila siku Lowasa?
hebu achana na huyu kipenzi cha watu,
hamumuwezi hata nafsi yako inashuhudia hilo
leo kesho mwatamani arudi ccm
Ushindi Wa upinzani utakuja tukipata katiba mpya ambapo tume utakuwa niihuru,hakuna cha kujiamini wala roho nyepesi! Bila katiba bora waendelee kupiga makitaimu au kupiga hela Kama plofeza lipumb. Unachota mihela unawageuka wenzio alafu badae unarudi kibabe
Katiba yao inaruhusu hivyo ya kwetu hairuhusu kumpa urais aliyepata kura chache za wananchi kuliko aliyepata nyingi labda aibe.Jiulize ni kwa nini kule marekani wananchi wengi walimchagua Clinton lkn hakupewa uongozi, ndicho kilimtokea Lowassa,