Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Kikwete alikuta posho majeshini sh. 50000 mpaka anaondoka madarakani posho aliacha wizara ya mambo ya ndani sh. 250000 jeshi la wananchi 280000 kama hujui kaa kimya.Acha udanganyifu tueleze kati ya Kikwete na Magufuli nani kapandisha posho katika majeshi yetu
Acha udanganyifu tueleze kati ya Kikwete na Magufuli nani kapandisha posho katika majeshi yetu
Polisi unamuonaje sio mnyonge au ni tajiri kualama inapochelewa lazima.Kumbe nyie ni mapolisi ehh?
Wake zao wameanza kuwatunishia msuli wanatakata posho! Gesi, unga, luku vimekata. Halafu RAIA hawatoi rushwa kizembekumbe nyie ni mapolisi ehh?
Hawa ndio mapolisi wetukumbe nyie ni mapolisi ehh?
Tatizo mnatumiwa na CCM.
Acha uongo bana, kikwete anaondoka na mabegi kwao msoga.Kikwete alikuta posho majeshini sh.50000 mpaka anaondoka madarakani posho aliacha wizara ya mambo ya ndani sh.250000 jeshi la wananchi 280000 kama hujui kaa kimya
Wewe ndio yule mama wa juzi bungeni eh???Kiukweli posho mnazopewa na alizo zianzisha /kuziongeza magufuli ni kwamba ni mzigo mzito sana kwa serikali na sidhani kama serikali itaendelea kuzimudu? Kama sikosei ilitoka150,000/ mpaka 300,000/ ni ongezeko kubwa mno mno.
Mbaya zaidi akakurupuka akafunga maduka ya barracks na kutoa sh 100,000/ ya pombe! Aisee ni mzigo mzito mno kwa serikali.
Kiukweli Yale maduka itabidi yarudi na posho ya 100,000/ iondolewe serikali imezidiwa? Pia maduka ya rudi ili na sisi tusio na posho tuje tunywe hizo bia za buku buku?
Asante afande kwa kusoma ujumbe wangu!!! Mwambie mkeo apunguze presha posho inakuja?
....watu wa ajabu sana ninyi. Mambo ya posho ni siri yako na mwajiri. Kuyaleta hadharani ndio nini? Ukisikia kakosa weledi ndio huku. Hamjui hata kutunza vyenu vya ndani? Mishahara na posho zenu kabla hamjapokea, kila mtu ashajua mtaani. Mnatia jibu. Hebu staarabikeni !Kikwete enzi zake aliingia mkataba na mabenki ili walipe mishahara na posho kwa tarehe waliyopewa ili Serikali ikichelewa kukusanya mapato mabenki yanasaidia kutoa mishahara na posho, posho zilikuwa zinalipwa tarehe 15 ya kila mwezi.
Mwendazake alipokuja akasema kuna wizi na gharama, akasema pesa zipo, tarehe ya posho akaipeleka hadi 30 ya kila mwezi. Hata hivyo hakufika mbali alijikuta tarehe zinapitiliza pamoja na kuwa ilikuwa mara kwa mara.
Hadi tarehe ya leo posho za askari hazijatoka, ikitoka mchana wa leo sawa ila tumuenzi Kikwete kwa maamuzi yake yalikuwa yanasaidia sana na malalamiko ya kupitiliza mishahara na posho haikuwepo. Mnyonge mnyongeni ila mpe chake kwa muda ambao ana njaa.
pole sana mkuu,Kikwete enzi zake aliingia mkataba na mabenki ili walipe mishahara na posho kwa tarehe waliyopewa ili Serikali ikichelewa kukusanya mapato mabenki yanasaidia kutoa mishahara na posho, posho zilikuwa zinalipwa tarehe 15 ya kila mwezi.
Mwendazake alipokuja akasema kuna wizi na gharama, akasema pesa zipo, tarehe ya posho akaipeleka hadi 30 ya kila mwezi. Hata hivyo hakufika mbali alijikuta tarehe zinapitiliza pamoja na kuwa ilikuwa mara kwa mara.
Hadi tarehe ya leo posho za askari hazijatoka, ikitoka mchana wa leo sawa ila tumuenzi Kikwete kwa maamuzi yake yalikuwa yanasaidia sana na malalamiko ya kupitiliza mishahara na posho haikuwepo. Mnyonge mnyongeni ila mpe chake kwa muda ambao ana njaa.
Kikwete enzi zake aliingia mkataba na mabenki ili walipe mishahara na posho kwa tarehe waliyopewa ili Serikali ikichelewa kukusanya mapato mabenki yanasaidia kutoa mishahara na posho, posho zilikuwa zinalipwa tarehe 15 ya kila mwezi.