Kinachokwamisha posho za askari zisilipwe kwa wakati ni nini?

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,279
2,000
Kikwete enzi zake aliingia mkataba na mabenki ili walipe mishahara na posho kwa tarehe waliyopewa ili Serikali ikichelewa kukusanya mapato mabenki yanasaidia kutoa mishahara na posho, posho zilikuwa zinalipwa tarehe 15 ya kila mwezi.

Mwendazake alipokuja akasema kuna wizi na gharama, akasema pesa zipo, tarehe ya posho akaipeleka hadi 30 ya kila mwezi. Hata hivyo hakufika mbali alijikuta tarehe zinapitiliza pamoja na kuwa ilikuwa mara kwa mara.

Hadi tarehe ya leo posho za askari hazijatoka, ikitoka mchana wa leo sawa ila tumuenzi Kikwete kwa maamuzi yake yalikuwa yanasaidia sana na malalamiko ya kupitiliza mishahara na posho haikuwepo. Mnyonge mnyongeni ila mpe chake kwa muda ambao ana njaa.
 
road master

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
1,793
2,000
Kiukweli posho mnazopewa na alizo zianzisha /kuziongeza magufuli ni kwamba ni mzigo mzito sana kwa serikali na sidhani kama serikali itaendelea kuzimudu? Kama sikosei ilitoka150,000/ mpaka 300,000/ ni ongezeko kubwa mno mno.

Mbaya zaidi akakurupuka akafunga maduka ya barracks na kutoa sh 100,000/ ya pombe! Aisee ni mzigo mzito mno kwa serikali.

Kiukweli Yale maduka itabidi yarudi na posho ya 100,000/ iondolewe serikali imezidiwa? Pia maduka ya rudi ili na sisi tusio na posho tuje tunywe hizo bia za buku buku?

Asante afande kwa kusoma ujumbe wangu!!! Mwambie mkeo apunguze presha posho inakuja?
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
42,588
2,000
Ebu tupe mchanganuo wake!! navyojua mimi ukiajiriwa unalipwa Basic Salary and other Allowances eg House ,Mafuta/Transport Allowance,Vocha za simu etc na hulipwa kwenye mshahara moja kwa moja! Kwani wao wanatofautishiwa mshahara(basic) na allowances?
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
23,992
2,000
Kiukweli posho mnazopewa na alizo zianzisha /kuziongeza magufuli ni kwamba ni mzigo mzito sana kwa serikali na sidhani kama serikali itaendelea kuzimudu? Kama sikosei ilitoka150,000/ mpaka 300,000/ ni ongezeko kubwa mno mno.

Mbaya zaidi akakurupuka akafunga maduka ya barracks na kutoa sh 100,000/ ya pombe! Aisee ni mzigo mzito mno kwa serikali.

Kiukweli Yale maduka itabidi yarudi na posho ya 100,000/ iondolewe serikali imezidiwa? Pia maduka ya rudi ili na sisi tusio na posho tuje tunywe hizo bia za buku buku?

Asante afande kwa kusoma ujumbe wangu!!! Mwambie mkeo apunguze presha posho inakuja?
Wewe ndio yule mama wa juzi bungeni eh???

Tunakuchora tu, ukiona umetekwa na kufanyiwa madhira ya aina yoyote basi jua aliyekutuma ukaseme vile ndio kakuponza.

Unakosa uchungu na mabilioni mnayolipwa kwa kukalisha mattako tu hapo kila siku, ila hizi mbili tatu za hao askari!!!
 
Kirokonya

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
1,695
2,000
Kikwete enzi zake aliingia mkataba na mabenki ili walipe mishahara na posho kwa tarehe waliyopewa ili Serikali ikichelewa kukusanya mapato mabenki yanasaidia kutoa mishahara na posho, posho zilikuwa zinalipwa tarehe 15 ya kila mwezi.

Mwendazake alipokuja akasema kuna wizi na gharama, akasema pesa zipo, tarehe ya posho akaipeleka hadi 30 ya kila mwezi. Hata hivyo hakufika mbali alijikuta tarehe zinapitiliza pamoja na kuwa ilikuwa mara kwa mara.

Hadi tarehe ya leo posho za askari hazijatoka, ikitoka mchana wa leo sawa ila tumuenzi Kikwete kwa maamuzi yake yalikuwa yanasaidia sana na malalamiko ya kupitiliza mishahara na posho haikuwepo. Mnyonge mnyongeni ila mpe chake kwa muda ambao ana njaa.
....watu wa ajabu sana ninyi. Mambo ya posho ni siri yako na mwajiri. Kuyaleta hadharani ndio nini? Ukisikia kakosa weledi ndio huku. Hamjui hata kutunza vyenu vya ndani? Mishahara na posho zenu kabla hamjapokea, kila mtu ashajua mtaani. Mnatia jibu. Hebu staarabikeni !
 
zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
3,792
2,000
Kikwete enzi zake aliingia mkataba na mabenki ili walipe mishahara na posho kwa tarehe waliyopewa ili Serikali ikichelewa kukusanya mapato mabenki yanasaidia kutoa mishahara na posho, posho zilikuwa zinalipwa tarehe 15 ya kila mwezi.

Mwendazake alipokuja akasema kuna wizi na gharama, akasema pesa zipo, tarehe ya posho akaipeleka hadi 30 ya kila mwezi. Hata hivyo hakufika mbali alijikuta tarehe zinapitiliza pamoja na kuwa ilikuwa mara kwa mara.

Hadi tarehe ya leo posho za askari hazijatoka, ikitoka mchana wa leo sawa ila tumuenzi Kikwete kwa maamuzi yake yalikuwa yanasaidia sana na malalamiko ya kupitiliza mishahara na posho haikuwepo. Mnyonge mnyongeni ila mpe chake kwa muda ambao ana njaa.
pole sana mkuu,
nikiwa kama mtetezi wa Haki za watu huwa nakereka sana ninapoona Haki za watu zikikaliwa halafu kuna watu wachache wanajilipa posho kwa wiki mbili zaidi ya 1billion!!!! hukooo hazina, halafu watu wana madai yao miaka nenda rudi!!! kwa hili kwakweli Mungu hawezi kuwasamehe.
Viongozi lipeni haki za watu kwa wakati, watu wanataabika sana!! wana matatizo kibao!!! kuna watu wanauguliwa n.k, hebu kuweni na huruma ya kibanaadamu
 
Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
4,430
2,000
Kikwete enzi zake aliingia mkataba na mabenki ili walipe mishahara na posho kwa tarehe waliyopewa ili Serikali ikichelewa kukusanya mapato mabenki yanasaidia kutoa mishahara na posho, posho zilikuwa zinalipwa tarehe 15 ya kila mwezi.

Mwendazake alipokuja akasema kuna wizi na gharama, akasema pesa zipo, tarehe ya posho akaipeleka hadi 30 ya kila mwezi. Hata hivyo hakufika mbali alijikuta tarehe zinapitiliza pamoja na kuwa ilikuwa mara kwa mara.

Hadi tarehe ya leo posho za askari hazijatoka, ikitoka mchana wa leo sawa ila tumuenzi Kikwete kwa maamuzi yake yalikuwa yanasaidia sana na malalamiko ya kupitiliza mishahara na posho haikuwepo. Mnyonge mnyongeni ila mpe chake kwa muda ambao ana njaa.

Kwa sababu wamekuwa sehemu ya udhalimu kunyanyasa wananchi...Nafikiria tuu....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom