Kwani kuna tatizo gani mtu kutumia kipato chake halali kufanya sherehe?
Magufuli ana ugomvi na mafisadi,majizi na wakwepa kodi na sio raia wafanyao sherehe kwa jasho lao
Niliwakubali akina mama wa ki Machame, jamani nadamka saa 10 alfajiri kuwahi mabasi ya kuja huku kwetu nakutana na akina mama wamebebelea maziwa wanapeleka mjini! Hongereni akinamama wa Uchaggani!
Mkuu Wa mkoa wa Kilimanjaro amekataza sherehe za kufahari, atakayekamatwa faini milioni sita Kwa kila mshiriki, onyo mtaaarifu Mchanga yeyote unayemjua
Mkuu Wa mkoa wa Kilimanjaro amekataza sherehe za kufahari, atakayekamatwa faini milioni sita Kwa kila mshiriki, onyo mtaaarifu Mchanga yeyote unayemjua