Kinachoendelea Ludewa:

Suala ni tulikubaliana kwanza kuwatambua walimu ambao ni wajasiliamali na kisha kuamua kuwagawia vitambulisho hivyo, lakini mleta mada kaleta jambo kwa chuki zake binafsi kwa kujumuisha kuwa ni waliotakiwa kugawiwa ni walimu wote suala ambalo halina ukweli ndani yake.

Comment kutoka Ludewa ndanindani
 
Hii siyo sawa kwa upande wa walimu kwa sababu tayari wanakatwa mishara yao ya kila mwezi kuchangia mapato ya ndani, PAYE
 
"Wakatwe moja kwa moja kwenye mishahara yao na kila mwalimu atapata kitambulisho chake kwa mkuu wa shule" Alisikika kada mmoja wa CCM anayelipwa buku 7 kwa kila post.
 
DC aliagiza watumishi wote kulipa 10k ya mwenge. Mchanganuo ulikuwa May 5k then June another 5k. Sijui hata wanaendeleaje na mchango huo!
 
Ludewa. Huko si ndio kwenye wachawi?
Kama huo sio uchawi, uchawi sasa ni nini?
 

Hao mbuzi walichakachua matokeo sana wanyooshwe tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…