simiyu JF-Expert Member Joined Jun 17, 2012 Posts 274 Reaction score 153 Feb 21, 2017 #21 Mzee wa Masauti said: Mkuu hivi bado una imani na jeshi la polisi??? Click to expand... Wao wanasubiri madawa ya kulevya ndo washighulikie
Mzee wa Masauti said: Mkuu hivi bado una imani na jeshi la polisi??? Click to expand... Wao wanasubiri madawa ya kulevya ndo washighulikie
mdetichia JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 5,292 Reaction score 2,172 Feb 21, 2017 #22 kashesho said: Wahusika ujumbe umefika Click to expand... Naamini wahusika wa kushughulika nao huwa wanachunguliaga humu na kutoka wasipepese macho wafanye kazi Pdidy said: YAANI WANANAMBA ZAO KABISA... AKACHOKA KABISA Click to expand...
kashesho said: Wahusika ujumbe umefika Click to expand... Naamini wahusika wa kushughulika nao huwa wanachunguliaga humu na kutoka wasipepese macho wafanye kazi Pdidy said: YAANI WANANAMBA ZAO KABISA... AKACHOKA KABISA Click to expand...
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,928 Feb 21, 2017 #23 Kama ni kweli, safari bado ni mbichi.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,928 Feb 21, 2017 #24 mtoto wa mjin said: Tena kuna afande mmoja hapo mbez anaitwa bakar anapenda rushwa balaa...anashirikiana na mkuu wa kituo... Click to expand... Tumeni majina yao kwa IGP copy kwa Waziri wa mambo ya ndani.
mtoto wa mjin said: Tena kuna afande mmoja hapo mbez anaitwa bakar anapenda rushwa balaa...anashirikiana na mkuu wa kituo... Click to expand... Tumeni majina yao kwa IGP copy kwa Waziri wa mambo ya ndani.