Kinachoendelea Kenya mida hii

Hawa majamaa Wana force Sana kiswahili
na bahati mbaya hawakiwezi na kukijua

kizungu nacho shida
ukabila umetamalaki

WANATIA HURUMA SANAA
 
MSAGA SUMU angalia hii. Inaweza kuwa sahihi au sio sahihi. Ila haya magari yana yoitwa Eldoret Express yapo sana tu na nishawahi kuyatumia. Kuna makubwa na madogo
 
Hehehe!! Hapo natumai alitegemea kusema liligongana na basi la Eldoret Express...Kweli mnafuatilia Kenya balaa, haya karibuni majirani.
 
MSAGA SUMU katika ubora wake. Eldoret Express ni kampuni inayomiliki mabasi ambayo yana umaarufu mwingi, kwa wasafiri nchini Kenya. Safari za mabasi yenyewe huwa ni za kuelekea kwa shemeji zetu kule Western, wale ndugu zenu wale. Kina Omwami, wenye mahaba ya kweli na 'Obusuma'. Umewaelewa eeh? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…