Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,041
Hao waandishi wa habari wanaoagizwa cha kuongea ? Mapimbi kina Balile na wanaccm waliojigeuza waandishi wa habari ?
Chadem wapo live YouTube channel yao.CDM sikio la kufa hao, leo wapo Tabora hutaoni picha hadi zipitie kwa mhariri wao azitengeneze ndio warushe, hawa jamaa watakata tamaa hata kabla ya kumaliza kampeni, hapa wanasubiri mkutano wa Mbeya ndio watume picha chache na vi clip vya dk 2.
Tuma shot screen ya viewers kwa sasaChadem wapo live YouTube channel yao.