Kinachoendelea ITV sasa, wapo sahihi kweli?

Kwanini mwana sheria wa nec kaingia mitini na alikuwa ahudhurie kipindi!???au amekwepa aibu maana angeumbuka

Atakujaje wakati anajua walilolifanya kwa wanacho sio sahihi wangekuwa wameshinda wao wasingefuta matokeo mkuki mtamu kwa nguruwe tu
 


Uchaguzi wa Rais wa Zanzibar kupitia ZEC wewe unakuhusu nini?
 

Kwa mtazamo wangu kuna kupunguzana kasi ya utekelezaji. Kwa yale makomeo aliyokuwa akiyatamka wakati wa kusaka cheo kuhusu admin inayoondoka ameanzishiwa bonge la gogoro ili amalize muda ktk kulisuluhisha na hadi akilimaliza keshasahau ahadi. Aidha kupitia gogoro hili anachonganishwa na wenye fedha zao.
 

Kuna mwanasheria mwingine ali-confirm kuwepo pale kwenye mjadala, pamoja na Kawishe wa NEC naye ali-confirm kuja. Labda wameahirisha dakika ya mwisho au walichelewa kwenye foleni.
 
Itv wanataka kupandisha hasira za wananchi wanaonyesha matukio mabaya tupu as if huu uchaguzi kuna vita inanukia.. Kweli mchaga sio mtu kabisa wana roho mbaya sana na tungewapa nchi tungeiwasha nchi moto.
 
Kosa ni la itv au la aliyefuta matokeo
Kosa ni aliyefuta matokeo wakati hana mamlaka ya kufanya hivyo...na pia kosa ni la mwakilishi kutoka NEC, somebody Kawishe, alikuwa anapenda sana kuja ITV kuongea na Sam Mahela kabla ya uchaguzi ila leo naona 'kaingia mitini' dakika za majeruhi. Nahisi atakuwa amekatazwa na wakubwa maana angebanwa pale na kulazimika kutamka kuwa ufutwaji wa uchaguzi Zanzibar ni batili.
 

Jana TBC ilikuwa na Hamfrey Polepole naye alikuwa anaongelea hayo hayo ya Zanzibar na aliegemea upande mmoja wa kuitetea CCM mbona si kukuona ukiandika chochote hapa JF?
 
ni kweli ndugu unajua jf siku hizi imeingiliwa na mapimbi kama mleta mada watu wanatoa ufafanuzi hili paka linasema uchochezi elimu elimu elimu
Tatizo watu waliozoea dhuluma, ukiongea ukweli unawa-accuse, hivyo wanadai unachochea, na wakiwa na mamlaka lazima watakukamata tu na kukusingizia chochote. Mwizi hapendi umwambie ni mwizi, mbona mwalimu anaambiwa ni mwalimu na anafurahia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…