Ndio maana tukawaambia Hamas washikilie hapo hapo nusra ipo njianiMoja ya maajabu ya dunia nayo endelea kushuhudia na dunia inayo endelea kushuhudia ni jeshi la Israel(IDF) ni kuendelea kupigana na Hamas mpaka leo toka 2023 mpaka sasa 2025.
Pamoja na hali ya kutisha ya uharibifu inayo endelea Gaza bado jeshi la Israel halijatimiza lengo hata moja lililo wapeleka Gaza.
Haya ni maajabu ya dunia kwa ukubwa wa jeshi la Israel na udhaifu wa kikundi cha Hamas kwa yanayo endelea Gaza kwa yoyote anaye fuatilia.
Ingekuwa ni uongo tuyasemayo basi bita vingekuwa vimeisha zamani.Kobaz wakijifariji wenyewe kwa wenyewe.
Lengo ni kuchukua ardhi mjomba sio kuokoa binadamu mzee fungukaMoja ya maajabu ya dunia nayo endelea kushuhudia na dunia inayo endelea kushuhudia ni jeshi la Israel(IDF) ni kuendelea kupigana na Hamas mpaka leo toka 2023 mpaka sasa 2025.
Pamoja na hali ya kutisha ya uharibifu inayo endelea Gaza bado jeshi la Israel halijatimiza lengo hata moja lililo wapeleka Gaza.
Haya ni maajabu ya dunia kwa ukubwa wa jeshi la Israel na udhaifu wa kikundi cha Hamas kwa yanayo endelea Gaza kwa yoyote anaye fuatilia.
Wapeni hao Hamas kiburi kwenye mitandao tu,, huku wakipukutika. In total vifo vimezidi 50,000, eti mnawapa sifa za kijinga. Wenzenu mayahudi wana target zao ninyi mnashabikia udini na wenzenu wanapoteza watu, ardhi na mali.Moja ya maajabu ya dunia nayo endelea kushuhudia na dunia inayo endelea kushuhudia ni jeshi la Israel(IDF) ni kuendelea kupigana na Hamas mpaka leo toka 2023 mpaka sasa 2025.
Pamoja na hali ya kutisha ya uharibifu inayo endelea Gaza bado jeshi la Israel halijatimiza lengo hata moja lililo wapeleka Gaza.
Haya ni maajabu ya dunia kwa ukubwa wa jeshi la Israel na udhaifu wa kikundi cha Hamas kwa yanayo endelea Gaza kwa yoyote anaye fuatilia.
Afu cha kushangaza anaruhusiwa afanye genocide na bado hajashinda licha ya kupewa silaha za kila aina na US, licha ya kusaidiwa na nchi chungu zima bado hawajaweza kuwashinda Hamas.Moja ya maajabu ya dunia nayo endelea kushuhudia na dunia inayo endelea kushuhudia ni jeshi la Israel(IDF) ni kuendelea kupigana na Hamas mpaka leo toka 2023 mpaka sasa 2025.
Pamoja na hali ya kutisha ya uharibifu inayo endelea Gaza bado jeshi la Israel halijatimiza lengo hata moja lililo wapeleka Gaza.
Haya ni maajabu ya dunia kwa ukubwa wa jeshi la Israel na udhaifu wa kikundi cha Hamas kwa yanayo endelea Gaza kwa yoyote anaye fuatilia.
Shida ni vita yenye huruma,unataka kumpiga adui yako unamtangazia kwamba kesho utapiga sehemu fulani hivyo ahamie sehemu nyingine.hilo lisilofanyika nakuhakikishia vita inaisha leo jioniMoja ya maajabu ya dunia nayo endelea kushuhudia na dunia inayo endelea kushuhudia ni jeshi la Israel(IDF) ni kuendelea kupigana na Hamas mpaka leo toka 2023 mpaka sasa 2025.
Pamoja na hali ya kutisha ya uharibifu inayo endelea Gaza bado jeshi la Israel halijatimiza lengo hata moja lililo wapeleka Gaza.
Haya ni maajabu ya dunia kwa ukubwa wa jeshi la Israel na udhaifu wa kikundi cha Hamas kwa yanayo endelea Gaza kwa yoyote anaye fuatilia.
Maviongozi wao wote walioandaliwa for decades wamekuwa eliminated yet wanajifariji! Akili za ajabu kabisa.Kobaz wakijifariji wenyewe kwa wenyewe.
Kuiangamiza Hamas na kukomboa mateka wote hayo ndio malengo yao waliyo waweka wazi mwanzoni kabisa mwa vita.Unaposema hajatimiza lengo
Unajua malengo Yao!?
Ushawaambiwa Gaza inataka kubadilishwa kuwa east Israel na kufuta kabisa Hilo jina na njia ya kuibadili ndio hiyo kufuta majengo na historia yake
Malengo Yao usikute hao Hamas wanatumika tu ili kufanikisha huo mpango
Ulishawahi kuona jeshi au mgambo wa Hamas akiwa na kombat akiwa mstari wa mbele kupigana na IDF?Moja ya maajabu ya dunia nayo endelea kushuhudia na dunia inayo endelea kushuhudia ni jeshi la Israel(IDF) ni kuendelea kupigana na Hamas mpaka leo toka 2023 mpaka sasa 2025.
Pamoja na hali ya kutisha ya uharibifu inayo endelea Gaza bado jeshi la Israel halijatimiza lengo hata moja lililo wapeleka Gaza.
Haya ni maajabu ya dunia kwa ukubwa wa jeshi la Israel na udhaifu wa kikundi cha Hamas kwa yanayo endelea Gaza kwa yoyote anaye fuatilia.
Mkuu nawewe na akili zako timamu unaamini malengo ya kuvamia Gaza ni kukomboa mateka tu nakuondoka?Kuiangamiza Hamas na kukomboa mateka wote hayo ndio malengo yao waliyo waweka wazi mwanzoni kabisa mwa vita.
Haya unayo andika wewe ni matamanio yako
Ile mnaita masjid Al aqsa ikichukua miaka 3 mbele sijui.............Afu cha kushangaza anaruhusiwa afanye genocide na bado hajashinda licha ya kupewa silaha za kila aina na US, licha ya kusaidiwa na nchi chungu zima bado hawajaweza kuwashinda Hamas.
Hi dunia ni ya majabu sana wanao jidai wanafata human rights wao ndio wanao ufanya ukatili, wanawapa silaha Israel za kila aina, wao ndo wanaipinga mahakama walio iunda ya ICC.
Mungu alisha ahidi Waislam wakisimamia haki zao hakuna atakaye washinda. Masjid Al Aqsa utabaki hapo hapo watake wastake. Wa Palestine watabaki hapo hap watake wasitake.
Na Yemen watamshinda US watake wasitake.
Vita Ya Gaza Inashabikiwa Kidini Zaidi Na Raia Wengi Wa Nchi Kiafrika,,,Ya Kwetu Mbona YanatushindaMnashangilia vita wafrika watu wa ajabu sana!!!