Both sides, politician will suffer due to uncontrolled contries and civilian to will always suffer due to economic situationAnd who will be the victim of those effect mostly? Politician or just innocent and poor citizen.
But all in all at the end of this problem every one will be respect from each other and development will come fastBoth sides, politician will suffer due to uncontrolled contries and civilian to will always suffer due to economic situation
Kwani ukiandika kwa Kiswahili utapigwa viboko?Both sides, politician will suffer due to uncontrolled contries and civilian to will always suffer due to economic situation
Inawezekana maelezo yako yalikuwa na lengo zuri kabisa ila lugha imekuletea upinzani wa lengo lakoBut all in all at the end of this problem every one will be respect from each other and development will come fast
Whoever,but should have been ccm member?no harm ,hata wote wakitoweka kwenye uso wa duniaAnd who will be the victim of those effect mostly? Politician or just innocent and poor citizen.
But all in all at the end of this problem every one will be respect from each other and development will come fast
Tatizo watu uwa wakiandama wakafanikiwa ondoa uongozi uliopo uwa hawaachi hata watakaofuata wataandamana yani wakichoka wanaandamana kwa hiyo ni mwendo wa maandamanoWakuu, kumekuwa na taarifa za mauaji na vifo vya watu wanaokadiriwa kufikia 30 mpaka sasa kati ya makundi kadhaa yanayohasimiana huko Sudani baada ya kufanyika maandamano ya kumuondoa Omar Bashir, sio hivyo tu ila pia kuna tetesi ya hali kutokuwa tengefu kwa serikali iliyojiita ya Mpito.
Kwa mtazamo wangu kinachotokea Sudani ni sawa na kile kilichotokea Libya miaka kadhaa iliyopita, swali la kujiuliza je ni ipi faida wanayopata hawa wanaojiita wanaharakati baada ya uharibifu huu?
Baada ya machafuko haya kuanza wao huwa wanafaidi nini?
Je, wale wanaharakati wa Demokrasia kule sudan wanafirahia matunda ya jitihada zao?
Kama haitoshi kesi anayohukumiwa kwayo Rais omar Bashir ni ya miongo kadhaa iliyopita je hiki ndicho kinachotafutwa na wanaharakati wetu hapa Tanzania kwa mgongo wa Demokrasia.?
Nawasilisha..
madhara ya madikteta yanapong'ang'ania madaraka ndio Haya,bashiri na gadafi kama wangekubali demokrasia mapema katika nchi zao wasingefikisha nchi zao hapo.madikteta majitu ya kuchukiwa sana na kulaaniwa yanaleta madhara makubwa sanaWakuu, kumekuwa na taarifa za mauaji na vifo vya watu wanaokadiriwa kufikia 30 mpaka sasa kati ya makundi kadhaa yanayohasimiana huko Sudani baada ya kufanyika maandamano ya kumuondoa Omar Bashir, sio hivyo tu ila pia kuna tetesi ya hali kutokuwa tengefu kwa serikali iliyojiita ya Mpito.
Kwa mtazamo wangu kinachotokea Sudani ni sawa na kile kilichotokea Libya miaka kadhaa iliyopita, swali la kujiuliza je ni ipi faida wanayopata hawa wanaojiita wanaharakati baada ya uharibifu huu?
Baada ya machafuko haya kuanza wao huwa wanafaidi nini?
Je, wale wanaharakati wa Demokrasia kule sudan wanafirahia matunda ya jitihada zao?
Kama haitoshi kesi anayohukumiwa kwayo Rais omar Bashir ni ya miongo kadhaa iliyopita je hiki ndicho kinachotafutwa na wanaharakati wetu hapa Tanzania kwa mgongo wa Demokrasia.?
Nawasilisha..
Kwa hiyo demokrasia ni kutoana kafaraDemokrasia maana yake lazma watu wafe ili wengine waje wafaidike.
madhara ya madikteta yanapong'ang'ania madaraka ndio Haya,bashiri na gadafi kama wangekubali demokrasia mapema katika nchi zao wasingefikisha nchi zao hapo.madikteta majitu ya kuchukiwa sana na kulaaniwa yanaleta madhara makubwa sana
What is the benefit of those conflicts to both sides?Both sides, politician will suffer due to uncontrolled contries and civilian to will always suffer due to economic situation