Kinacho fuwata bubu ataongea

Kinacho fuwata bubu ataongea

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,266
Reaction score
14,270
Kuna miamba wamekuwa kimya nakujifanya wao mmmm hawataki makuu japo naeao misimamo yao ni ile nika moles fulani wanajitaidi wapite haka kamchujo waanze kusumbuwa acha akina mh Mpina hawa wamekuwa makini kuepuka kunaswa na ulimbo wakizi mkazi. Sasa wajiandae kisaikolojia hii ulimbo utawanasa yaani mpaka bubu ataongea mtajuwa hamjuwi ila tutasalimiana. Mitano tena hata kama bubu...
 
We poyoyo asb hii unaandika huu utumbo?
 
Wewe upo upande gani?

Mitano Tena au no reforms no election?
 
Back
Top Bottom