Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
wamemupa kesi ya kufaziri kundi la M23, inasikitisha sana kwa uonevu huu
Waambie ukweli aise!................Ila sio vizuri mnagoma kwenda kwenu!,
wamemupa kesi ya kufaziri kundi la M23, inasikitisha sana kwa uonevu huu
harafu bado kuna watu watakuja kulalamika eti tunatengwa EAC.
kwa unyanyasaji huu tunaofanya kwa raia wa nchi majirani tutegemee kutengwa kimyakimya tu.
pia kuna watu watakuja kusema tujitoe EAC.
hizo bandari tukijenga bila kuwa na ujiran mwema na majiran tutaishia kupitisha unga tu wakina masogange.
wanaoshikwa wanafanyiwa mambo za kinyama sana. wengine ni watanzania wenzetu lakin wanalazimishwa kuwa raia wa nchi nyingine.
ukweli lazima usemwe

wamempa.wamemupa kesi ya kufaziri kundi la M23, inasikitisha sana kwa uonevu huu
harafu bado kuna watu watakuja kulalamika eti tunatengwa EAC.
kwa unyanyasaji huu tunaofanya kwa raia wa nchi majirani tutegemee kutengwa kimyakimya tu.
pia kuna watu watakuja kusema tujitoe EAC.
hizo bandari tukijenga bila kuwa na ujiran mwema na majiran tutaishia kupitisha unga tu wakina masogange.
wanaoshikwa wanafanyiwa mambo za kinyama sana. wengine ni watanzania wenzetu lakin wanalazimishwa kuwa raia wa nchi nyingine.
ukweli lazima usemwe
Mengine yoooote nakusamehe, ila hili una uthibitisho gani kuwa si kweli? Wanyaru mnatusumbua!