Kina Jecha wauponda mfumo ZEC

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
Kama hata Jecha ameanza kuuponda mfumo Wa zec ni dhahiri sasa dhambi aliyoifanya mwaka Jana inaendelea kumtafuna

chanzo: gazeti La nipashe la leo
 
Ameupingaje huo mfumo? Weka habari kamili tusome, wengine tupo huku Utende - Kamsisi, magazeti yanafika baada ya miezi 3
 
Kama hata Jecha ameanza kuuponda mfumo Wa zec ni dhahiri sasa dhambi aliyoifanya mwaka Jana inaendelea kumtafuna

chanzo: gazeti La nipashe la leo
Mnafiki tu laana itamtafuna mpaka vizazi vyake.
 
Back
Top Bottom