Ni mshahara mdogo.Mshahara wangu si mkubwa wala si mdogo sana, ni 800k on average monthly (net). Lakini nikifikiria namna ulivyoteketea kwa hawa kina dada, inaniuma sana
Kama ulikuwa kwenye mawazo yangu.Ni mshahara mdogo.
A.K.A teh tehSomebody like this..mtu hivi hivi [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Hujakosea mkuuA.K.A teh teh
Raha anayopata mkurugenzi na ww mlalahoi ni sawa,so malipo lazima yalingane na huduma unayopewa...Watuhurumie ata sisi walala-hoi wenzao basi, sio wanatu-treat sawa na wakurugenzi jaman, tunaumizana namna hii!
Acha uboya, kama expenditure zimezidi ongeza income. Usitegee wadada washuke bei ndo uwale, ni sawa na kungojea mlima Kilimanjaro upungue urefu ndo uupande. Kinachotakiwa ni kuongeza akili uupande vipi huo mlima. Kwa hio kinachotakiwa ni kuongeza budget ya matanuziiii
one of my favorite comedians!!Hujakosea mkuu