FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,418
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:Huyu ni Binti wa 25 yrs old ana B/F kwa muda wa miaka 3 sasa na pia anasoma Elimu ya juu katika chuo kimoja ..kinachomsumbua ni kwa nini mpenzi wake hajatangaza nia juu yake mpaka sasa..
Siku moja Binti kamuweka kitako Boyfriend na kumueleza hisia zakekamili kama anampenda sana na anapenda awe mme na baba wa watoto wake ..Jamaa akamwambia kila kitu kina muda ,na muda ukifika wataongea na kupanga yote haya...
Binti kaamua kubeba ujauzito bila kumwambia jamaa ,kasubiri unafikisha 7 month ndo akasema kijana kamtunza bila tatizo mpaka binti kajifungua.
Cha kushangaza sasa Binti anataka kuhamia kwa mwanaume na mwanaume amegoma ..Binti anatishia kunywa sumu.....anashinda analia na mtoto ana miezi miwili
Wadau hii imekaaje?
Ni vyema ikala kwake kwa sababu hakushirikisha ubong. ingekuwa mimi huyo mwanaume ningemletea sumu ya panya kabisa ili anywe.
Hiyo imekaa poa. Jamaa avute kifaa kingine, bibie akija na tumbo lake apokelewe na vuvuzela!!
Haya narudia tena.Chrispin jamani wewe ..mbona hii advice ya kubomoa hahaha ..rudia tena .
Hiyo imekaa poa. Jamaa avute kifaa kingine, bibie akija na tumbo lake apokelewe na vuvuzela!!
hii ndo shida kubwa sana, na ndo maana mi siku zote huwambia mashost zangu once ukiamua kubeba mimba na kukileta kiumbe ulimwenguni, be sure of what you are doing, jua ni wewe mama uliyebeba mimba miezi tisa na ukaingia labor kwa uchungu ndo utakayekuwa full responsible for that kid. wanaume si wa kuwaamini katika hili, na mbaya zaidi ndo kumtegeshea mtu bila kujua, ni tatizo kubwa sana. bora akae chini atulie ajipange kulea na kutunza mwanae with or without that guy. Hakuwa fare kwanza kwa kumtegeshea kaka a watu kisa anataka ndoa, hizi ndoa zinazotafutwa kwa nguvu namna unategemea nini hata akishakuoa akakuweka ndani just for the sake of the babby and not love? mwishowe ndo mwanaume anaanza kuku ignore ndani nyumba ndogo kibao, kisa hajakupenda ila tu anakutorelate kwa ajili ya mtoto, that is crazy ladies, crazy!
Hu..kinachomsumbua ni kwa nini mpenzi wake hajatangaza nia juu yake mpaka sasa..
Huyu ni Binti wa 25 yrs old ana B/F kwa muda wa miaka 3 sasa na pia anasoma Elimu ya juu katika chuo kimoja ..kinachomsumbua ni kwa nini mpenzi wake hajatangaza nia juu yake mpaka sasa..