BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,526
- 3,802
Naona mdada unajianika uchawi wako
Povu la nini dada yangu?kidole cha katikati kiliumbwa kwaajili ya ma.bwabwa kama wewe
Ndio shida ya kutosoma!Kina dada kwanini mnapenda maswala ya imani za kishirikina, nafahamu kuwa wapo wanaume pia wanaofanya ushirikina lakini dada zetu mmezidi sana jamani. Japo si wote lakini
Kwa kweli mpunguze, mnafanya maofisi yasiwe sehem salama kabisa. Hata ukisema utajiajiri utakutana na wale wanaoroga ili boss awe anamsikiliza yeye tu. Yani aibe aongee uongo boss ataamini tu, hapa ofisini kwetu kuna wadada wamemchezea boss hata mzee wa watu hasikii la kuambiwa kuhusu hao watu. Wanamuibia pesa nyingi, akishauriwa anakuwa mkali (Tafiti zinaonyesha hawajatoa papuchi wala nini ila ni washirikina wanafahamika toka walikotoka)
Punguzeni jamani, muoneeni huruma mzee wa watu mtaua kampuni yake
Wewee kwani siku ya kula papuchi linapita gari la matangazo kutangaza au wakitoka huko wanawekwa sticker kuwa mzee kala? Mzee ni mbunye (uchawi wa kibaiolojia) ndio utaua kampuni yake.Kina dada kwanini mnapenda maswala ya imani za kishirikina, nafahamu kuwa wapo wanaume pia wanaofanya ushirikina lakini dada zetu mmezidi sana jamani. Japo si wote lakini
Kwa kweli mpunguze, mnafanya maofisi yasiwe sehem salama kabisa. Hata ukisema utajiajiri utakutana na wale wanaoroga ili boss awe anamsikiliza yeye tu. Yani aibe aongee uongo boss ataamini tu, hapa ofisini kwetu kuna wadada wamemchezea boss hata mzee wa watu hasikii la kuambiwa kuhusu hao watu. Wanamuibia pesa nyingi, akishauriwa anakuwa mkali (Tafiti zinaonyesha hawajatoa papuchi wala nini ila ni washirikina wanafahamika toka walikotoka)
Punguzeni jamani, muoneeni huruma mzee wa watu mtaua kampuni yake
Mapenzi hayana siri, umri wako ni mdogo kuutambua usemi huoWewee kwani siku ya kula papuchi linapita gari la matangazo kutangaza au wakitoka huko wanawekwa sticker kuwa mzee kala? Mzee ni mbunye (uchawi wa kibaiolojia) ndio utaua kampuni yake.
Ofisi gani hiyo mkuu watumishi tuje tukemee mapepo?Kina dada kwanini mnapenda maswala ya imani za kishirikina, nafahamu kuwa wapo wanaume pia wanaofanya ushirikina lakini dada zetu mmezidi sana jamani. Japo si wote lakini
Kwa kweli mpunguze, mnafanya maofisi yasiwe sehem salama kabisa. Hata ukisema utajiajiri utakutana na wale wanaoroga ili boss awe anamsikiliza yeye tu. Yani aibe aongee uongo boss ataamini tu, hapa ofisini kwetu kuna wadada wamemchezea boss hata mzee wa watu hasikii la kuambiwa kuhusu hao watu. Wanamuibia pesa nyingi, akishauriwa anakuwa mkali (Tafiti zinaonyesha hawajatoa papuchi wala nini ila ni washirikina wanafahamika toka walikotoka)
Punguzeni jamani, muoneeni huruma mzee wa watu mtaua kampuni yake
Sema kweliKigoma ni kwenyewe kila mtu na kajini kake ofisini
Kigoma ni kwenyewe kila mtu na kajini kake ofisini