Kina Dada acheni tamaa. Ukipendwa pendeka. Soma kisa cha huyu Dada

Naandika si kwamba nahitaji ushauri, ila nataka ujifunze kama unatabia hizi na unahisi mpenzi wako hakujui.

Nilianza mahusiano na huyu dada miaka miwili iliyopita kule Moshi. Kwasasa naishi Mbeya.

Sifa za huyu Dada ni mpole, mchangamfu, mkarimu na ukimuona utajua huyu ni mcha Mungu namba moja. Asili yake ni kule walikoongoza matokeo ya la saba hadi form four, bila shaka ulanzi unawasiaidia kuperform darasani.

Baada ya kuanza mahusiano naye na kukubaliana kwamba sasa ni wapenzi rasmi, nilianza kuona tabia ambazo zilinishangaza hasa kwa mdada anayejielewa.

Mfano, anaweza asikutafte siku nzima usipomtafta wewe. Hata kukubeep ili kama hana salio umpigie hawezi, hata kutuma sms hawezi. Kwahiyo kama siku hiyo uko busy ujue itapita bila bila. Niliongea naye kwa taaabu sana akajirekebisha kidogo, nilifanya hivo kwasababu mapenzi ni ya wawili si ya upande mmoja.

Tabia ya pili, baada ya kuwa naiba simu yake akiwa amelala niligundua anamawasiliano na wanaume kadhaa ambao kwa mazungumzo ni mpenzi wao. Nilimkanya akakubali kwa tabu sana na kuahidi atajirekebisha lakini kiuhalisia hajaacha, anachokifanya ni kufuta tu kila aina ya ushahidi kwenye simu yake, ingawa mimi huwa nikishika simu yake narudisha kumbukumbu zote kwahiyo naona.

Tatu, niligundua nimuongo muongo sana, anaweza akapigiwa simu na mtu mkiwa wote, akiulizwa yuko wapi atajibu niko nyumbani au nimesafiri niko mwanza. Katika uchunguzi wangu nikafuma sms akimdanganya mwanaume kuwa sipo nyumbani nipo Mbeya nimesafiri kikazi ila nikirudi nitakujulisha, wakati huo alikuwa amelala kwangu kwa siku kadhaa. Unaweza kumuuliza kitu kwa kumtega tu, atakudanganya mpaka utashangaa wakati huo ukweli unakuwa unaufahamu. Ukimuuliza uko wapi au leo ulienda wapi, utadanganywa dunia yote.

Nne, nikagundua hatosheki na alichonacho. Anatumiwa pesa na wanaume tofauti tofauti wengi sana ikiwemo watu niliowahi kuhisi ni wapenzi wake,nilipomuuliza, alikataa kuwa si wapenzi wake na wala hajapokea pesa yeyote. Niliwahi kumuuliza kwanini unapokea pesa za mtu flani au mnabiashara gani?, hakunipa jibu la kueleweka ingawa huyo mtu nilitumia kama mfano tu kati ya wanaume wengi anaopokea pesa na vitu mbalimbali kutoka kwao. Tabia hii iliniathiri sana kisaikolojia kwasababu, mwanzo nilikuwa na moyo wa kujitoa sana kwake kwa hali na mali, baada ya kugundua hii tabia, nikaacha kabisa.

Tano: Wakati naanza naye mahusiano niliwahi kusikia anamtu ingawa sikuwa na uhakika, nikamuukiza akasema huyo mtu sina mmahusiano naye wala simpendi. Ila katika uchunguzi wangu huyo mtu wanawasialiana na akisafiri analeta zawadi kama kawaida na huyu anapokea.

Sita: kuna tabia nyingi za ajabu ambazo kwakweli si sawa kuzitaja hapa, but in summary ni hizi.

Huyu mdada nilimpenda sana lakini kwa tabia hizi naona sio ridhiki. Nadhani nitakuwa sina hatia kwa hatua yeyote nitakayoichukua.

Siwezi nikaanzisha uhusiano halafu kila siku roho iwe juu juu tu. Lengo la uhusiano ni kuwa na mtu ili upate pumziko la moyo na kuridhisha mwili pindi unapohitaji kufanya hivo.

Nawasilisha: kumbuka sijaomba ushauri hapa, ni ushuhuda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bro me nakupongeza kwa kuweza kugundua kuwa huyo demu ni kicheche + Ana tamaa ,huyo ni kumuacha km alivo na ujinga wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani huo mkasa ulioupata kama wangu mimi mwenyewe kuna demu nimetoka kumpotezea kisa upuuzi kama huo, yaani alikuwa muongo, anapokea zawad kutoka kwa wapenzi wake wazamani, anatamaa ya vitu vya gharama wakati yeye hana kazi , kujiona mzuri kuliko wote duniani, hakutafuti mpaka umtafute,hajibu text mpaka ajisikie nikagundua hapa na deti na takataka!

Pole ndo dunia hiyo, inaonekana wewe ulimtongoza kiulazima ili kufanikisha azma ya kiume ambayo sasa inakutesa rohoni, Mwanamke akisema anamtu achana nae usilazimishe penzi baadaye litakugharimu, nakushauri muache utafute wa type yako.
 
Wenzio wanawake kama hao huwa hawawaachi isipokuwa anabaki nae kwa ajili ya pussy. Maana ndicho wanataka.
 
Ukala kona Mzee baba
Yaani huo mkasa ulioupata kama wangu mimi mwenyewe kuna demu nimetoka kumpotezea kisa upuuzi kama huo, yaani alikuwa muongo, anapokea zawad kutoka kwa wapenzi wake wazamani, anatamaa ya vitu vya gharama wakati yeye hana kazi , kujiona mzuri kuliko wote duniani, hakutafuti mpaka umtafute,hajibu text mpaka ajisikie nikagundua hapa na deti na takataka!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Haupo peke yako, nina ndugu yangu nae alikuwa bwege like you,. Ubwege huu hutokana na kudhani ww ndo bingwa wa kupenda. Na mara nyingi huwakumba vijana 20's to 30's. Yaani ubwege unakuwa hivi, Ushajiridhisha kuwa ni muongo na ana wanaume ila unakuwa mzitoooo kumwacha au kumtumia tu kama starehe na akikosea akajiliza liza basi ww unasamehe kiroho safi tena kirahisi, unatumia nguvu kubwaaa kuwa na mpenzi anayetumia nguvu ndogo sana kwako. Ule uzito na hayo yooote ndo ubwege wenyewe.
 
Back
Top Bottom