Kimya kimya mpaka nitaingia tu

papag

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,326
Reaction score
1,991

kwa mtindo huu ndio uelekeo wa 2015?
 
Watu wa makanisa lazima waseme hapana kwa watu wenye tabia kama hizi,kutafuta uongozi kupitia makanisa si jambo zuri.
 
Bwana 'Ed,edd and eddy' anakula shortcut kali sana...yaani kuna uwezekano wa kuitokea denge ikulu.
 
ndivyo ilivyo kama kina pasco wa jf na tbc wanamuita PM mstaafu ujue kabisa ndio sipidi yake hiyooo
 
Najua Watanzania walishasahau. Ngoja nianze taratibu nikianzia kanda ya Ziwa baadae Kaskazini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…