Kimya hiki kina mshindo wake mkuu

taandika sana mashairi mwaka huu,tusahwajua nyie kuwa nanyi ni ukoo wa PANYA....hata mumchukue nani URAIS sahauni,na uroho wa madaraka wa viongozi wenu utawaponza. MLAANIWE KABISA KWASABABU MNACHOKIHUBIRI SICHO MNACHOKIISHIO NA KUTENDA.

Namwomba sana Mungu amlipe Mbowe kwa kuhujumu watanzania, na alaaniwe kwa kuichuuza CDM
 
Tumaini Makene na Mchambuzi walichonijibu wenyewe waliona wananitukana
kumbe wamejivua nguo wenyewe.....sasa aibu hii sijui wataweka wapi sura zao

Wanasiasa hawanaga aibu, hawatakosa cha kusema hata kama hakina mantiki, huwa wanadhani kila mtu ni mbumbumbu.

Sasa nadhani wanaanza kumwelewa Zitto kwa mbaali!
 
Wanasiasa hawanaga aibu, hawatakosa cha kusema hata kama hakina mantiki, huwa wanadhani kila mtu ni mbumbumbu.

Sasa nadhani wanaanza kumwelewa Zitto kwa mbaali!

Zitto is hero, aliwatanabaisha mapema akina Slaa kuwa mwenyekiti wao wa chadema ni dikteta lakini hawakusikia! Ona sasa leo maskini Slaa amekatwa hivi hivi na nafasi yake kuchukuliwa na fisadi aliyemtukana usiku na mchana! Ha ha ha ha ni shida, yaani inahitaji zaidi ya phd kuamini kinachotokea UKAWA.
 

Dr Slaa hana ujanja, njaa inamtesa, Mbowe amejua wapi pa kuwakamata!

Nimeona tamko la Tundu Lissu kwamba Lowassa sio fisadi ila ni mfumo ndo umesababisha aonekane fisadi.

Nasubiri tamko la Rais wetu Dr Slaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…