Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 26,030 Reaction score 51,317 Jan 3, 2020 #1 Si kawaida yao kuwa kimya kiasi hiki bila tambo wala majigambo kuelekea mechi yao dhidi ya wababe wao Simba. Hawa jamaa ni lazima wako kwenye maombi mazito ya kimya kimya wakiomba kesho dau lao lisizame!!
Si kawaida yao kuwa kimya kiasi hiki bila tambo wala majigambo kuelekea mechi yao dhidi ya wababe wao Simba. Hawa jamaa ni lazima wako kwenye maombi mazito ya kimya kimya wakiomba kesho dau lao lisizame!!
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,698 Reaction score 42,013 Jan 3, 2020 #2 Habari za chini zinasema mganga anataka damu ya MTU ndio wapate goli moja huku Simba ikiwa na tatu wataka warudishe nyuki jmosi
Habari za chini zinasema mganga anataka damu ya MTU ndio wapate goli moja huku Simba ikiwa na tatu wataka warudishe nyuki jmosi
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 26,030 Reaction score 51,317 Jan 3, 2020 Thread starter #3 MO11 said: wataka warudishe nyuki jmosi Click to expand... Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 13,120 Reaction score 12,149 Jan 3, 2020 #4 Ngano zushaanza kupanda kichwani ........Toka lini mbumbumbu akawa mbabe wa Yanga?
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 26,030 Reaction score 51,317 Jan 3, 2020 Thread starter #5 Mr.Junior said: Ngano zushaanza kupanda kichwani ........Toka lini mbumbumbu akawa mbabe wa Yanga? Click to expand... Maji jangwani yamekauka? Kesho msilete visingizio kwamba kelele za chura ziliwa- frustrate wachezaji wenu hadi wakashindwa kucheza!!
Mr.Junior said: Ngano zushaanza kupanda kichwani ........Toka lini mbumbumbu akawa mbabe wa Yanga? Click to expand... Maji jangwani yamekauka? Kesho msilete visingizio kwamba kelele za chura ziliwa- frustrate wachezaji wenu hadi wakashindwa kucheza!!
Ekuweme JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 3,597 Reaction score 4,066 Jan 3, 2020 #6 Hii mechi inachezwa usiku huu. Kesho ni matokeo tu Sent using Jamii Forums mobile app
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 13,120 Reaction score 12,149 Jan 3, 2020 #7 Allen Kilewella said: Maji jangwani yamekauka? Kesho msilete visingizio kwamba kelele za chura ziliwa- frustrate wachezaji wenu hadi wakashindwa kucheza!! Click to expand... Sawa Bi.Hindu Fc. .......Hivi kale kamjengo kenu pale kodi siku hizi bado anachukua Mzee Kilomoni au Mhindi?
Allen Kilewella said: Maji jangwani yamekauka? Kesho msilete visingizio kwamba kelele za chura ziliwa- frustrate wachezaji wenu hadi wakashindwa kucheza!! Click to expand... Sawa Bi.Hindu Fc. .......Hivi kale kamjengo kenu pale kodi siku hizi bado anachukua Mzee Kilomoni au Mhindi?
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 26,030 Reaction score 51,317 Jan 4, 2020 Thread starter #8 Mr.Junior said: Sawa Bi.Hindu Fc. .......Hivi kale kamjengo kenu pale kodi siku hizi bado anachukua Mzee Kilomoni au Mhindi? Click to expand... Mikelele ya leo ndiyo maana jana nikasema mlikuwa mnaomba kimya kimya!!
Mr.Junior said: Sawa Bi.Hindu Fc. .......Hivi kale kamjengo kenu pale kodi siku hizi bado anachukua Mzee Kilomoni au Mhindi? Click to expand... Mikelele ya leo ndiyo maana jana nikasema mlikuwa mnaomba kimya kimya!!
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 13,120 Reaction score 12,149 Jan 4, 2020 #9 Allen Kilewella said: Mikelele ya leo ndiyo maana jana nikasema mlikuwa mnaomba kimya kimya!! Click to expand... Mshukuru refa kawatupia mgongoni.
Allen Kilewella said: Mikelele ya leo ndiyo maana jana nikasema mlikuwa mnaomba kimya kimya!! Click to expand... Mshukuru refa kawatupia mgongoni.