WanaJF nimekuwa najiuliza kwanini CHaDEMA mpaka sasa hawajatangaza Rais atakayechuana na JK au Chibuda etc. Kimya hiki kinanipa wasi wasi kinaweza kuwa kizito na cha kutingisha Medali ya siasa za kiTZ WanaJF muna mtazamo upi kuhusu kimya hiki??
kwani ccm wametangaza? form za kugombea uraisi chadema bado hawajaanza kutoa sasa haraka za nini?. Google chadema uende kwenye web yao mengi utayapata huko.
WanaJF nimekuwa najiuliza kwanini CHaDEMA mpaka sasa hawajatangaza Rais atakayechuana na JK au Chibuda etc. Kimya hiki kinanipa wasi wasi kinaweza kuwa kizito na cha kutingisha Medali ya siasa za kiTZ WanaJF muna mtazamo upi kuhusu kimya hiki??
mhh!!! nadhani atakuwa amejimaliza kisiasa maana CCM kwa smear campaign tu mwisho sijui labda atakuwa amejiandaa but huyu akigombea hata wanaCCM watampa maana ana nguvu kuliko huyo JK

Ajimalize kisiasa kwa siasa gani, za CCM? You must be in a different world all together. Huyu bwana ni wa kimataifa for your information, wala hafai kwenye siasa zenu za majitaka! Hata hivyo anaweza kuwa Rais mzuri sana na akairudisha nchi kwenye mstari unaotakikana. CHADEMA wakifanikiwa kumpata watakuwa wamelamba dume!